Aksante kwa kujaribu kuzungumza nami ila.......................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aksante kwa kujaribu kuzungumza nami ila..........................

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by SHIEKA, Jan 13, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Baba mmoja kiziwi(asiyesikia) alipanda daladala aina ya chai maharage kutoka kijijini mwake kuelekea mjini.Huyu baba ni mtu asiyefahamu mambo mengi ya kisasa. Kutazamana naye huyu baba ndani ya hiyo chai maharage alikuwa abiria mmoja kijana aliyekuwa akitafuna big g. Huyo baba akawa anamtazama sana huyo kijana wa big g. Alipofika mwisho wa safari yake, baba akanyanyuka tayari kushuka huku akimwaga yule kijana kwa kusema: 'Nashukuru sana kijana wangu kwa kujaribu kunisemesha muda wote wa safari lakini mimi ni kiziwi!
   
 2. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ndo wale wale,mtu unapishana naye,ukifungua mdomo tu,keshajibu...marhabaaa,hujambo kijana!
   
 3. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Asalaaale!!
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Kama ni mimi na nimegundua hilo kuwa hajui natafuna big g naendelea kutafuna kwa nguvu ili ajue nmechukia
   
 5. T

  TUMY JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ah ah hiyo nayo kiboko hiyo:lol::lol::lol:
   
 6. Tombi

  Tombi Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitashuka na kumnunulia big g alafu akianza kutafuna ni tamuuliza mbona na wewe unaniongelesha?
   
 7. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha!
   
Loading...