Nimesema SITAKIi uninong'oneze!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimesema SITAKIi uninong'oneze!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Feb 11, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe unajua kabisa ugomvi wangu mimi na wewe ni kuhusu huo mdomo wako unaonuka, lakini kwa nini unaendekeza tabia yako ya kutaka kuniambia kila jambo kwa kuninong'oneza? Naomba tuendelee kuwasiliana kwa kutumia mitandao pekee kwani kuongea na wewe "live" imeshindikana.

  Message sent and delivered!!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mmmk, yaani kiga kwa nini huwa sikupati??
  Unachezea masafa ya megahezi ngapi?

  Au uko AM, mie nakutafuta FM
   
 3. G Mpoleeee

  G Mpoleeee Senior Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  leo naon mipasho day!
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  nakwambia?
  Yalianza ya LAKI SI PESA na mgomvi wake. Naona Kiggy nae kafunguka leo...
   
 5. G Mpoleeee

  G Mpoleeee Senior Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  roho imeuma nimekosa lig cookie kafunga mjadala. Ulnoga huo! Huu umedorola umeona ulvokaa kishamba!
   
 6. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wako wengi kweli hao hawajui kuswaki
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  hata mimi roho imeniumaje shosti?
  Maraia walishaanza kufunguka, miksa tushaweka khanga na kigoda tumsute mmbeya wetu...
  Cookie amekanyaga waya kishenzi!
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Alaah,kumbe kale kaugomvi ulikapenda eeh.Ndio maana ulikuwa unakuja polepole.Mkuu na wewe ni mhanga wa siasa hizi za JF? mE SIMO
   
 9. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Si mlianzishe hapa nyie wawili ......
  MAPROSOO.
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  siasa za Chit-Chat zina raha yake mkuu, ugomvi ule ulikuwa unahusu, nilitaka nijifanye naamulia afu nimbonde ngumi mbaya wangu,
  ha ha ha ha ha!
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ngoja tukae kamati ya kambi nzima, chini ya mkuu 'laki si pesa', halafu tuje na maazimio ya kukinukisha.
  Hatoki mtu mwaka huu...
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hizi naona ni stress za Valentine mnakanyagana tu humu ndani
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hello Nitty

  tubondane basi na sie

   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  eh! wakigombana chukua jembe kalime ngoja nisepe zangu.
   
 15. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Pole mkuu...

  Umeongea kwa feelings zilizo deep sana..
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Tatizo laki c pesa mwoga! anaogopa kumchana m2 live.
  MAPROSOO.
   
 17. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani nisamehe basi....!!!

  Sasa ntawezaje kukuambia hayo wakati kila mtu anasikia?

  Mitandao siipendi. Nataka nione reaction yako ninapokuambia kuwa mimi............................!!!!!!!!
   
 18. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Leo basi uje umepiga mswaki. Maana velentino yetu isije ikaharibika!!
   
Loading...