I love money more than myself

big up jane, it's good to know what you want... sasa una mpango gani wa kuzipata?
 
Duh !!!!!! Service provider online !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kaaazi Kweeeli Kweeeeli !!!!!!!!!!!!!!!
 
Jane wateja bado kupatikana? kwani kila kukicha ni matangazo tu ya wanaume mara pesa mara niniiiii, nk. Vipi, kwanini usiende Buguruni/Ohio/Temeke/Jolly club/n.k ili ukapate huduma unayohitaji? Vipi, mbona matangazo mengi sana? uko salama au ndo umechanganyikiwa tayari na hata haujithamini tena na unachowaza ni ngono na pesa tu? pole sana kwa mawazo yako. Nakushauri kaongee na ndugu zako wakubwa wakushauri au watu fulani katika jamii kama Dr./ Wachungaji/Mapadri/Masheik ili wakushauri ujue nini maana ya maisha haya tuliyonayo.

Jane, una tatizo kubwa sana zaidi ya ngono na pesa, na hivyo unahitaji msaada wa haraka sana wa kisaikolojia na kiushauri. Jitahidi sana ukapate ushauri mapema, vinginevyo unajuta muda si mrefu kwa haya matangazo unayofanya hapa. Pole sana dada yangu kwa yaliyokusibu hadi ukafikia hali ya kutojithamini tena. Nenda kapate ushauri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom