Umeiona?

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,020
577
From Yahoofriends

Ati Mwenye Nchi amethubutu. Je, ameshindwa?
Nchi nzuri Tanzania ili iendelee = watu+ardhi+ siasa safi + uongozi bora




download

 
huo uongozi bora ndio hakuna. viongozi hawakai nakufikiri na kutatua matatizo ya wananchi. sana wanajifikiria wao tuu
 
Unampenda jirani yako kama nafsi yako. Kwa hiyo lazima uhakikishe umejipenda vizuri na ukitoshekaunakuwa reference ya kumpenda jirani yako. Kama hujatosheka ndio hivo tena. Kila aliye nacho ataongezewa na yule asiyenacho atanyang'anywa hata kile kidogo alicho nacho. Ndiyo philosphy ya binadamu kokote uendako.
 
Back
Top Bottom