Jina la sim card yako kwenye fb..

guccio

Senior Member
Feb 20, 2011
137
22
ivi unajua sim card yako inajina kwenye mtandao wa facebook...ukitaka kuakikisha fuata steps hizi
1st step:katika namba yako ya simu mfano 0546 213488 chukua tarakimu 3 za mwisho,mfano katika namba hyo ya juu ni 488.
2nd step:andika neno hili kama lilivyo na namba hzo tatu @*[488:0]
3rd step:baada ya kuandika kwenye sehemu ya post au comment ondoa alama ya * kwahyo itakuwa ivi @[456:0]
4th step:baada ya hapo bonyeza ENTER kama una2mia PC au kitufe cha COMMENT kama unatumia simu,then utaona jina la yo SIM CARD..
kumbuka:fanya hivi kwenye FACEBOOK tu..na unaweza kucopy @*[456:0] alaf ukapaste ucsahau kuandka namba 3 zako za mwsho na kuondoa * ndo ubonyeze COMMENT au ENTER.
 
Wadau wa Kigamboni leo mida ya saa tisa alasiri mbunge wa Kigamboni anategemea kuhutubia wakazi wote wa Kigamboni katiak kiwanja cha Machava................
 
mi namba zangu ni hizi
0713 abc def
0754 abc def
na zako ni hizi
0773 abc def
0784 abc def
sasa nikuchukua namba tatu za mwisho mf def na wewe ukafanya hivi hivi,
je yatatokea majina tofauti?
 
mi namba zangu ni hizi
0713 abc def
0754 abc def
na zako ni hizi
0773 abc def
0784 abc def
sasa nikuchukua namba tatu za mwisho mf def na wewe ukafanya hivi hivi,
je yatatokea majina tofauti?

mmmh wanafunzi huwa wanafeli kwa mengi kumbe...hahaha ni number mweshmiwa co herufi...tarakimu wanasema.
 
Mh ngoja niendelee na utafiti juu ya hili kwa sasa nimetoka bila kupata jibu sahihi.
 
Back
Top Bottom