Avatar tunazotumia jf, ni kivutio kingine! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Avatar tunazotumia jf, ni kivutio kingine!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by jouneGwalu, Apr 19, 2011.

 1. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kabla sijajiunga rasmi hapa JF, nilikuwa napenda kutupia macho kwenye jukwaa la siasa na habari na hoja mchanganyiko... lengo langu kubwa lilikuwa ni kupata tathimini ya muelekeo wa siasa za kiharakati, katika kufanya hilo nilianza kuvutiwa sana (achilia mbali harakati, hizo sijawahi kuwa disappointed na JF) na "avatar" ambazo wana-JF wanazitumia, zilikuwa zinani-move sana kwanza zinavyotokea kwenye page ya JF (hapa niwape big up mafundi mitambo) maana naona zipo tofauti kidogo na zile za kwa FB (utokeaji wake kwenye page), pili ni kwamba nyingi kama sio zote ni nzuri kiasi zikawa zinanipa tafakari hao watu wenyewe wakoje, na kuna baadhi mpaka sasa naamini ndio wapo hivyo hasa ukilinganisha na the way wanavyopost thread zao au hata kuchangia,
  Mfano, Invisible (robot) ninapicha kama lijitu lenye miakili mingi sana na busara halina mzaha, Mzee Mwanakijiji na jembe lake, Susy (sijui analia nini), Preta, Pakajimmy na kioo (sijui laptop) yake, Msarendo (too gangstarr???), Klorokwini, Kigogo (Afande, lol) ,Crucifix, Only83 (pozi za simba), Kimbunga, Mahesabu, The Boss (pozi za ki-denzel), Kupeng'e, Speaker (short n' clear kama Hitler), Stein, Samora10, Afrodenzi, itnojec (thumb up?), Michelle, Rose1980, Katavi, Sweetdada, Mpendwa (full harakati?) Kibiritingoma, Blaki Womani, The Prophet (mzee wa nyikani??).. kwa kuwataja ni wachache sana.
  Natamani ku-share kwamba mtu ulifikiria nini kuweka Avatar hiyo unayotumia, au kama ni wewe mwenyewe!
  Mimi nimeweka image ya "Music Soulchild".... Ni mwanamuziki kijana wa soul na R n' B ninayemkubali sana na nyimbo zake nyingi nazipenda sana, hiyo album yake ya "onmyradio" ndio hiyo image inapatikana!
  Ni hayo tu, kama upo interested twende sawa.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ah haya..
   
 3. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mi Napenda kunywa Maji Mengi kwa Afya Bora! teh teh teh!
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhhhh sante mkuu
  (thumb up?) mmhhh
  mie itabidi uni PM nikwambie kwa nini ..
  Top Secret hahahahhaahah lol


   
 5. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna thread iliwahi kuanzishwa na BAK kusema inayoendana na yako
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hivyo enhe
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ipo thread tuliyojadili hii ishu ya avatar kwa undani!
   
 8. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Naomba nitoke nje ya mada kidogo. Naomba nisaidiwe namna ya kuweka AVATAR.Nitashukuru kwa hilo wana JF wenzangu.
   
 9. Barbie Maliposa

  Barbie Maliposa Senior Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mie nipo kama Barbie.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mimi avatar niliyoweka nimefikiria mengi. Nikianza kuwaelezea hapa nitawachosha.
  Anayeipenda avatar yangu namruhusu aiprint akaweke kwenye album.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,502
  Trophy Points: 280
  Na siye tulioanza kuvuta fegi tangu tukiwa darasa la tatu B shule za kata haupendi avatar zetu?
   
 12. duda

  duda Senior Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wana JF tafadhali na mie naomba yeyote anielekeza jinsi ya kuweka Avatar, nimejaribu bt nimeshindwa jamani plzzzzzzzzz!!!!!!!!!
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Napenda kusikiza music,..
  mara nyingi kama nafanya kitu na niko serious sana lazima niwe na headphones!
  Hitler napenda sana style ya mustach wake,.........................
   
 14. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Kwanza nikupongeze kwa kuwa ctive new member
  pili nikushauri kwamba font yako inaonyesha una-shout (bold, big fonts etc) na wengine unatuumiza macho
  pia si vibaya kurejea previous threads kuna nyingi tu zinazohusu avatar

  karibu tena
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  dah...eti eeh....
   
 16. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  come kiss me
   
 17. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmwaaah!
  [​IMG]
   
 18. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  preta hii ya kwako hii.. mhh! nikiitazama lazima nimeze mate... sijui kwa nini..?!
   
 19. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  teh teh!
   
 20. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Ha ha! Pamoja mkuu.
   
Loading...