Mamby Fweza hayo!!!

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
355
88
Mtu mmoja alimwomba Padri amfanyie misa ya maziko ya mbwa wake. Padri akasema hawafanyi misa za namna hiyo, jaribu kwingine. Jamaa: Je, wapi wanafanya hizo misa maana nina sh. million 1 ya sadaka. Padri akadakia "wewe hukusema kama mbwa wako alikuwa mkristo! Nitamfanyia tu, hamna shida!!
 
Hahahahaha...si angemwambia amfate mama Lwakatare manake ndo anaabudu fwezaa
 
Back
Top Bottom