Maisha ni matam...msikilize huyu binti!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,975
Binti mmoja alighadhibika baada ya mama yake kumkemea juu ya tabia zake mbaya.
Binti yule akaamua kujiua.
Baada ya muda babaye alirudi.
Mazungumzo yakawa ifuatavyo:
baba:Mwanangu yuko wapi?
Mama:Yupo chumbani kujiua!
Baba akakimbilia chumbani,alipomkuta binti ametoa mimacho!
Baba:We vipi?
Bint:nimeamua kujiua!
Baba:umemeza nin?
Bnt:panado 50.
Baba:Kwa nini usimeze hiz sumu 5 za panya ufe haraka?
Bnt:Haaaa baba!UNATAKA KUNIUA BURE!!
 
Tungekuwa tunakufa halafu tunarudi Dunia, watu tusingechezea vitu vinavyosababisha kifo kwa mfano kutembea/kukaa kandokando ya barabara, kula chakula mpaka kipimwe kwanza, Nahisi ingekuwa hatari zaidi na shida kubwa kwa wanaorudi Duniani baada ya kufa.
 
Hii nayo neno!

kulikua na mwalimu mmoja alinifundisha primary hukooo lushoto....! mwanae alibipu kujinyonga ..! yule ticha akamrushia dumu limejaa DDT akamwambia kunywa hii tunataka kutumia kiti ulichosimamia hapo..! dogo alilia kinyama..!
 
Hahahaaa!!
Yeye alizani kufa utani!

Back
Top Bottom