ingekuwaje?

Bellino

Member
Jan 29, 2012
65
10
ingekuwaje mtu angekula kutokana na mazingira ya kazi yake kama vingekuwa vinalika.

KATIKA UJENZI.
Menu
.supu ya tofali
.saruji ya kukaanga
.kokoto za ku rosti
.sururu ya kuchoma
.mseto wa mchanga
..,,,,,,
,,,,,,,,
,,,,,,,
,,,,,,,
MASHAMBANI
Menu
.mipini ya kuchoma
.majembe ya kutafuna
.supu ya mbegu
.mbolea ya kukaanga
,,,,,,,,
,,,,,,,
,,,,,
,,,,,,,
HOSPITAL
Menu
.sindano za kumeza
.parasetam za kubanika
.microscope ya kuchemsha
,,,,,,,,,
,,,,,,,
,,,,,,
,,,,,,,
 
asee yani husomeeeeki kabisaaa hebu jipange vizuri halafu uje tena..!
 
Back
Top Bottom