Leo hii asubuhi nimeokota Begi lina dola laki moja je kuna mtu aliyepotelea na pesa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo hii asubuhi nimeokota Begi lina dola laki moja je kuna mtu aliyepotelea na pesa?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MziziMkavu, Apr 1, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,232
  Likes Received: 4,025
  Trophy Points: 280
  Wakuu Wenzangu leo hii tarehe 1/04/2012 Asubuhi wakati ninakwenda kazini nimeokota njiani begi lina pesa taslim Dolar laki moja, nawauliza wenzangu je kuna mtu aliyepotelewa na hizo pesa ili niweze kumrudishia? Au mnanishauri nizipeleke wapi karibu na kituo cha Polisi? nataka ushauri wenu jamani Wakuu Mnasemaje ? Asanteni.:A S-confused1:
   
 2. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mh! Jaribu Kumuuliza Mh Adam Malima zinzweza kuwa zake! Ndio mwenye kutembea na mifuko ya hela njiani!
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hahahaa sidanganyiki ngo!
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 493
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  April mosi
   
 5. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,211
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Zipeleke arumeru sikukuu ya wajinga inaadhimishwa kule
   
 6. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,575
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Za mwigulu, change iliyobaki mpitishie mukama hapo lumumba
   
 7. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Peleka nyumba ya Mama Theresa Mburahati!!
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Ni la kwangu nimeliangusha wakati nimetoka kuvunja benki hapo town nimebaki na mawili
   
 9. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,415
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ni za EL ! Walikuwa wanazituma Arumeru!
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,089
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  1st April ....nice try :) :)
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,232
  Likes Received: 4,025
  Trophy Points: 280
  Mumeshindwa kunijibu basi ninazipeleka kwenye kituo cha Polisi asanteni.
   
Loading...