Je ungependa kucheka hadi kuchungulia kaburi?

Je ungependa kucheka hadi kuchungulia kaburi?

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Subirini kidogo naongea na simu......:cell::crazy:
 
...................................!!!!!!!!!............
 
Acheni hizo,mbona ahadi za jk bado mnazisubiria tena tangu 2000 na 5?
 
Poleni kwa kusubiri nakuja sasa hv kuwapa hicho kichekesho chenyewe..lakini kwa sasa ngoja ni do kidogo maana wife...gjmjm.jtj<jtp§]twJ8MTj=@mkmjg
 
unatengeneza vicheko kweli? umethibitisha ule usemi wa watu kuwa kuna 'Slow learner" ktk kutoa jambo. nakuomba uweze kuufuta kwako usije ukaganda.Inawezekana hata wanao hapo baadaye ukawa unawapa kalenda kama unazotoa hapa jf.

"Akili za Kuambiwa Changanya na Zako"
 
Mxxxx!!!kichaa kasoro hijabu utamjua tu!
Poleni kwa kusubiri nakuja sasa hv kuwapa hicho kichekesho chenyewe..lakini kwa sasa ngoja ni do kidogo maana wife...gjmjm.jtj<jtp§]twJ8MTj=@mkmjg
 
Back
Top Bottom