Ziro (200) >>

Zero na mwalimu
mwl>mbna hapa umefutafuta sana?
Zero>nilisahau kuandika sifuri badala yake nikaandika 'o'
 
Zero aliulizwa. Baada ya mwezi Septemba unafwata mwezi gani? Akajibu, simpo! Unafata mwezi Sepchege.
..
Dah, kweli ziro TMK dam'dam
 
Zero aliona watu wanacheza mpira uwanjani, akatafakari kichwani akisema hawa watu wajinga yaani wote hawa wanagombania kucheza mpira mmoja?? Basi akawahesabu then akaenda kuleta mipira kulingana na idadi yao akaitupia uwanjani...
 
Zero aliulizwa. Baada ya mwezi Septemba unafwata mwezi gani? Akajibu, simpo! Unafata mwezi Sepchege.
..
Dah, kweli ziro TMK dam'dam
..
Ziro aliulizwa na mwalimu wake.
'Unafahamu Kangaroo ni mnyama mwenye asili ya Australia?'
..
Ziro akajibu: Nafahamu hata Kitengeroo wanapatikana huko Australia..
 
huyu zero mbona kama mjanja hivi maana kama wali ni rice ugali atasema waziri mkuu
 
Zero akiwa baharini anawaza, kama bahari hii yote ingekuwa ni mchuzi ningetumia chapati ngapi kumaliza yote
 
Zero huyu huyu....kamringia mwenzake aliyepata 7/100 kwenye mtihani wa hisabati kisa yeye kapata 8/100
 
Ziro huyo huyo, kwenye kona alishawi kujitapa kwa kupata F katika hisabati..Eti kisa F alfabeti ya tano ktk Kiswahili...Huku akisema yeye aliyepata F akilalamika, je waliopata Z wafanye nini?
 
Zero aliona watu wanacheza mpira uwanjani, akatafakari kichwani akisema hawa watu wajinga yaani wote hawa wanagombania kucheza mpira mmoja?? Basi akawahesabu then akaenda kuleta mipira kulingana na idadi yao akaitupia uwanjani...

Hii ni ya LODI LOFA (1980's) enzi za bingwa wa kuchora katuni kama sikosei alikuwa anaitwa Kaduma (Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi) ktk gazeti la SANI. Anyway haijachuja.
 
zero aliambiwa kua ziwa victoria ni ziwa maji baridi..! akakataa na kuwaambia wenzake kua "mbona nimeyashika nimeona yako kawaida tu..?"
 
zero huyohuyo aliulizwa na mwl wa hesabu, hivi umbo la mraba lina nyuzi ngapi?
akajibu itegemeana ni chapa gani , nike, reebok,adidas,na ni size gani pia.
 
Back
Top Bottom