Ujanja wa Kilaza kwa Mwalimu wake.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Kilaza aliamua kutokwenda shule lakini ili kuepuka na adhabu kali ikabidi atumie ujanja.
Kilaza aliamua kupiga simu kwa mwalimu mkuu na kujifanya yeye ni Baba Kilaza hivyo alikuwa anamwombea ruhusa Kilaza kuwa hatokwenda shule. Huku Kilaza akijitahidi kuongea sauti nzito ili iendane na ya mzazi wake, maongezi yalikuwa hivi...

MWALIMU MKUU: Haloo.

KILAZA: Habari yako mwalimu Mkuu..... Namwombea ruhusa Kilaza, hatokuja shule leo.

MWALIMU MKUU: Sawa nimekuelewa, lakini naongea na nani?

KILAZA: Unaongea na Baba yangu.
 
Ha
haha
hahaha
hahahahaha
hahahahahahahaaaa...

hA HA HA HA HA HA HA HA
HA HA HA HA
 
teh teh teh nimeipenda sana hii..! nakumbuka hata mimi nilishawahi kumdanganya h/master wetu..! mpaka nikafanikiwa kupata ruhusa kwenda home wakati nilikua detained shule kwa kudanganya..!
 
Back
Top Bottom