JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
"Darling nipo bar hapa napata mbili tatu, nitarudi nyumbani ndani ya dk 50 zijazo, ukiona kimya we soma tena hii meseji"...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
kawauliza wabunge wenzake ......nilie? Wabunge wakamjibu .........lia! Mheshimiwa akaona aibu na kusema hataki kumpa majonzi spika.
0 Reactions
3 Replies
863 Views
What you do on skype? I can call my friends free of charge and without a time limit. I use skype alot, its a great tool for getting naked and masterbating on cam for people
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"mimi nakwambia thithi ndio chelthii, wale bathelona hawatuwedhii. Thii unaona methii alivyokabwa, thatha thubiri Nou Camp!" Hiyo ni sehemu tu ya mabishano
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Kuna mtoto amejitokeza mbezi mwisho ya kimara taahira mwenye umri takribani miaka 16 anaitwa Elizabeth,huyu mtoto ni hatari sana,kitu anachofanya akiona mtu anapita hasa mwanamke anamwomba hela...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kila mtu analaumu oooh spika sijui kafanya nini mara kafanya kile...sijui kimekuja hapa kikaenda kule...... Mbona Watanzania mnakuwa wagumu sana kuelewa jamani!! Mnakuwa kama hamjasoma...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Real Madrid made it.. Tupia neno moja hapa nawe kuonesha jinsi jmosi yako ilivyoisha..
0 Reactions
6 Replies
920 Views
Nakumbuka nilipokuwa mtoto kila nilipokwenda stesheni (Tbr) nilikuta injini za tren zipo on muda wote, pia mabehewa yakisukumwa kwenda mbele na nyuma. Hapo nilidhani kwamba injini ya treni...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Jamani Niko mbali na mheshimiwa Kanambia mama watoto naomba niruhusu leo nitoke out naenda pale kanga moko ... Nimejikaza na kumwambia pls go honey you know i trust you.. ila roho inauma kupita...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Shemeji yangu klorokwini Umekosekana kwa muda sasa hapa jamvini jamani am concerned! KWa yoyote atakayemwona naomba anifikishie salamu zangu. Aksanteni.
1 Reactions
86 Replies
5K Views
Usiku mwema na weekend njema.... Tuonane asubuhi..... Wakritu msisahau kanisani please!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WAS IT A CAR OR A CAT I SAW.. 'WASITACARORACATISAW'.. This is the only English sentence which even if we read in reverse, it'll give the same meaning
3 Reactions
10 Replies
2K Views
.... Sina nia mbaya na mtu hapa... Ila nahitaji jihusisha na hili... Simaanishi kwamba wewe ni jobless au unakaa bure... NO. Kongosho, ErickB52, Bagah, ... etc.. Hawa ni mfano tu..unaweza...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
  • Closed
Ndugu zangu nasoma gazeti moja hapa loh kunamwanakamati mmoja alieshiriki na kuvaa makoti meusi kwenye mciba wa kanumba ameonekana jana mara ya pili akizunguka zunguka kwenye show rooms za...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwanza sitafanya kama wengine wengi wanavyopendelea harusi ziwe za namna gani, ya kwangu itakuwa kama hivi: 1. Chakula- Mihogo za kukaangwa na za kuchemshwa. Nyama za kuchoma...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Mama mmoja alikwenda na mjukuu wake wa 3yrs Supermarket kufanya shopping shoprite. Alipokuwa kwa counter kulipia, mjukuu wake akaanza kushikashika pipi na chocolate. Ikabidi mama amkanye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BAGAH Amyner Cantalisia Smile Rejao Husninyo sweetlady1 Smiling Saint Erickb52 Kongosho Asprin. Yeyote atakayefanikisha watu hao kupatkana atapata donge nono. Watajwa hapo juu wanashtakiwa...
1 Reactions
179 Replies
9K Views
Shoga alienda kwa mganga ili apewe dawa ya kuacha ushoga na aweze kusimamisha mganga akamuandikia wimbo wa taifa shoga kwa hasira akamuuliza mbona umeniandikia nyimbo ya taifa mganga akamjibu hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukiwa muongo uwe makini... Jamaa mmoja alijifanya baharia akawambia watu aise nimezunguka bandari zote duniani kuanzia China, Africa yote ulaya marekani nk. Akaulizwa kwahiyo UNAIJUA SANA...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo nimefulia bandugu.Sina salio kabisa kama una salio simuni kwako basi nihamishie hata 100 tu.Msema ukweli mpenzi wa mungu na kuiba dhambi.Namba yangu 0762 698 698.
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…