Mwenye salio kwenye line ya voda,anipunguzie

Ungekuwa unatumia

mtandao wa Zantel

ningekunusuru Kamanda!

Endelea kuperuz kwn wadau watakuja!
 
we wa kike au kiume?
Jamani we mchokozi eeeeh?halafu ukijua ni wa kike uanze mambo yako?
we mpunguzie tu Mungu atakulipia,ni nina imani utakuwa umempunguzia.
jamani lakini huyu jamaa mjanja sana tutajuaje kama simu yake tayari
ina dola za kutosha?asije akafungua duka la vocha za kurusha tuwe macho jamani
 
Kama una line ya tigo fanya faster nikulushie salio kuna mdau kakosea kutuma tigo pesa kanitumia mim??
 
Jamani we mchokozi eeeeh?halafu ukijua ni wa kike uanze mambo yako?
we mpunguzie tu Mungu atakulipia,ni nina imani utakuwa umempunguzia.
jamani lakini huyu jamaa mjanja sana tutajuaje kama simu yake tayari
ina dola za kutosha?asije akafungua duka la vocha za kurusha tuwe macho jamani

haha mkuu sina duka la vocha.Ila nashukuru nimesaidiwa sana
 
Back
Top Bottom