Harusi yangu itakavyokuwa......!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harusi yangu itakavyokuwa......!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Papa Mopao, Apr 19, 2012.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Kwanza sitafanya kama wengine wengi wanavyopendelea harusi ziwe za namna gani, ya kwangu itakuwa kama hivi:

  1. Chakula- Mihogo za kukaangwa na za kuchemshwa.
  Nyama za kuchoma, kuchemshwa na za kukaangwa.
  Kachumbari za kutosha.
  Supu nazo zitakuwepo.

  2. Vinywaji- Za aina zote.
  3. Muziki- Za kidini, za kawaida na kitamaduni zitakuwepo.
  4. Mavazi- Simple za kawaida hata kaptula au kuja na vest zitaruhusiwa mradi mtu anakuwa huru kwenye sherehe kama vile upo nyumbani.
  5. Ukumbi- mandhari yake itakuwa ya kinyumbani nyumbani.
  6. Usafiri wa kawaida kabisa.
  7. MC atakuwa yeyote yule atakayeweza kufanya siyo lazima awe mmoja tu.
  8. Ratiba itakuwa ya kipekee.

  Kwa ufupi harusi itakuwa ya kinyumbani nyumbani siyo usasa mwingi!

  Hii harusi nitaiita kwa jina la Chemgemo!
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  I like it, garden wedding bila maformalities!
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kadi zitakuwa za namna gani??
  Maandishi ya mkono?
   
 4. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Kabisa kabisa! Hakuna sababu ya kujipa presha!
   
 5. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Kadi zitakuwa za maandishi ama za kuchapishwa ila itakuwa ya kinyumbani nyumbani!
   
 6. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,029
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Cake itakua ya boga kama sikosei..
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,307
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Hiyo harusi itakuwa mwaka gani???
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  Si mapressure tu bali ni umaskini pia! Imagine after wedding you are 20ml poor! Wakati ungeweza tumia hata 2ms tu!
   
 9. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Bila shaka kama zikipatikana na hata ya cake ya ndizi!
   
 10. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Panapo majaaliwa Mungu akinijalia, nitakujulisha ndugu yangu usijali!
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,657
  Likes Received: 5,815
  Trophy Points: 280
  Kaunga, kudos on dat!
  how i love a garden wedding...ts always my idea of my wedding...
  veery simple n cost effective too!
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Basi zitapendeza km zikiandikwa kwa mkono
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,657
  Likes Received: 5,815
  Trophy Points: 280
  haha..afu mwandiko wa mtoto wa darasa la pili...anajaza mstari mzima...!
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,417
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Safi sana!
  Hata mumeo mtarajiwa anaweza kukubaliana na hili, nina shaka kama wifi zako wataafiki.
   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,777
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kwani Papa Mopao ni mdada?!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Njoo Mwanza kwenye 'Bukombe' uone, simpo sana, na hakuna kadi, na wanakuja kweli unaona wanakupenda.

  Hizi harusi za michango unafki mtupu.
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,417
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Hajasema, nimefanya presumption.
   
 18. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,677
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Nafikiri kutakuwa hamna KADI ni free entry.
   
 19. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahah uuuwiiii,mbavu zangu mie, Erick ur sooo funny
   
 20. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwenye vinywaji napendekeza togwa iwe kwa wingi zaidi.
   
Loading...