Msaada kuhusu mtoto huyu ni hatari mno Mbezi mwisho stand

ureni

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,261
526
Kuna mtoto amejitokeza mbezi mwisho ya kimara taahira mwenye umri takribani miaka 16 anaitwa Elizabeth,huyu mtoto ni hatari sana,kitu anachofanya akiona mtu anapita hasa mwanamke anamwomba hela akikataa anamghata na kumtoa damu au anamparua kwa kucha,kwa kweli huyu mtoto sasa hivi amekua hatari mno,nimeshashuhudia wadada kama watatu hivi katika siku tofauti na leo nimeshuhudia mwingine nikaona nilitoe hili tatizo hapa kwenye mtandao nikiwa na imani vyombo vinavyousika vitaona na kumwondoa haraka kabla hajaleta mazara zaidi.

Kuhusu huyu dada wa leo alikuwa anapita katika kituo cha zamani mbezi mwisho huyo mtoto akamwomba hela huyo dada akamwambia sina,wakati huyo dada anataka kuvuka barabara akapigwa meno midhili ya mbwa anayengata mfupa kwa kweli inasikitisha sana dada wa watu akajaribu kumkimbiza lakini wapi akabaki akiugulia maumivu.
Ningependa kutumia nafasi hii kuviomba vyombo vinavyohusika visaidie kumwondoa mtoto huyu kabla madhara makubwa zaidi hayajatokea.
 
Tunashukuru kwa taarifa na wasioweza kufikia jamiiforum wapewe hata taarifa kupitia vyombo vya habari kwa wale wanajamiiforum waandishi wasaidie si kila kitu kinahitaji malipo bali hata dua za unaowajuza zitakufaa mbele ya mola wako
 
familia yake iko wapi? Asije kukutana na wendawazimu, wakamchapa bakora mpaka akasahau silaha ya meno aliyonayo....
 
Mi alinivamia ile nashuka tu kwenye daladala akasema naomba hela bahati mkononi nilishika alfu moja nikampa. watu wa pale kituoni wanamjua. hii ya kutiana meno si ndo kuambukizana marazi kweli.
 
Mhhh, Asante kwa taarifa, maana si Mbezi tusije pata meno.
 
Kenya wapo hao, Nairobi.Anakuonyesha kinyesi mkono mmoja na mwingine anaomba pesa.Kama umeulamba unatoa tu, halafu hiyio harafu ndo balaa, lazima utoe something.
 
soon tu ngoja wakware wambemende, utaona kashavimba juu...miaka 16 si ni mkubwa kabisa huyo
 
Mmh, umefika mbal,,,so 'wakishamvimbisha' ndo ataacha kun'gata watu?Sdhan, nafkr hko n kumuongezea matatizo na nawalaan wale wote wanaowawinda vichaa na matahaira na kuwapa 'dudu'..sio fresh, kwan mnazd kuwaadhibu ndugu zake!

Kama vp s waende 'afrika sana'?!
 
Mi alinivamia ile nashuka tu kwenye daladala akasema naomba hela bahati mkononi nilishika alfu moja nikampa. watu wa pale kituoni wanamjua. hii ya kutiana meno si ndo kuambukizana marazi kweli.
daaa yani sijui inakuwaje aisee kwa maana eniweiz hatua za haraka en hivi kwani hizo pesa anatumia kufanyia nini mmh maana chizi na pesa wapi na wapi
 
Kenya wapo hao, Nairobi.Anakuonyesha kinyesi mkono mmoja na mwingine anaomba pesa.Kama umeulamba unatoa tu, halafu hiyio harafu ndo balaa, lazima utoe something.
daaa ebhana eeh hapo lazima utoe but kam ni hivyo basi kuna wengine wanatumia njia ya uchizi kupata chochote kitu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom