..... Unafanya kazi gani wewe...!?

WaliNazi

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
851
96
.... Sina nia mbaya na mtu hapa... Ila nahitaji jihusisha na hili...

Simaanishi kwamba wewe ni jobless au unakaa bure... NO.

Kongosho, ErickB52, Bagah, ... etc..
Hawa ni mfano tu..unaweza nisaidia ongeza wengine. Nahtaji faham wanafanya kazi gani na mda gani kuliingizia taifa hili masikini kipato...kwani wapo hapa JF 24/7...

Au CAFE..!? Receiptionist..? Secretary..?

Mie nawah Job saiz... Tukutane mchana.
 
Lol.....
Aiseeee....
Ngoja niongee na Kongosho na Bagah tuje na jibu moja ila jibu la kwanza sisi ni MODS....
 
Mie ni Mama Ntilie hapa Magomeni Migomigo..
Nashukuru mungu nimepata uwezo wa kununua simu yenye mtandao..
Asubuhi baada ya kuwahudumia wateja supu..naingia JF
Nikimaliza kuandaa chakula cha mchana wakati nasubiri wateja naingia JF
Mchana wakimaliza kula naosha vyombo na kufunga..tayari kwa kuhudumia family
 
yani madame umeweka cheko juu ya uso wangu...i guess hii ndo itachukua nafasi kwa leo...teh! teh! teh!...
 
Lol.....
Aiseeee....
Ngoja niongee na Kongosho na Bagah tuje na jibu moja ila jibu la kwanza sisi ni MODS....

tunakusubiri wewe...mm na Konnie tuko meeting room...afu tumefungua na ZABURI leo...upo hapo!
 
utakaa sana......
hivi kuwa JF 24/7 inawaharibia wengine moods eeh.....
sasa kwa kukujulisha ni kwamba....we are there to stay...8765.81277/366.....na bado taifa linapata kipato tena mpaka kinatosha kuibiwa na mafisadi.......
 
Mimi mpiga debe kituo cha mabasi Mwenge. Namshukuru Mungu nimeweza kufanikiwa katika maisha. Namiliki fuso mbili, nyumba tatu msasani na Ac yangu bank ina salio 8figures. Huwa naingia Jf saa 11- 2 usk muda huu wateja wetu hujipigia debe wenyewe.
 
mie shambaboy! nikimaliza kukata majani nachukua ile sim ya mwenye mifugo napiga mambo!!!

jf anaingia mtu anaefanya kaz yeyote

coz kuna mtu anachungulia kwa dk 2-5 kila baada ya lisaaa limoja, mtu km huyu waweza fikir anashinda humu
 
Watu wengine bana mnavisarani kwani wakikaa 24/7 wewe inakuuma nini??

Na ukijua kazi zao itakusaidia nini???

Na umejuaje kama wanakaa 24/7 kama hauko nao pamoja???

Acha watu wajipe raha zao
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom