Bibi na mjukuu wake digree

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Mama mmoja alikwenda na mjukuu wake wa 3yrs Supermarket kufanya shopping shoprite. Alipokuwa kwa counter kulipia, mjukuu wake akaanza kushikashika pipi na chocolate. Ikabidi mama amkanye:
MAMA: Wewe DEGREE hebu acha hizo pipi nshakununulia moja inatosha.
CASHIER: Bibi una maana mjukuu wako aitwa DEGREE?
MAMA: Ndio ninavyomuita.
CASHIER: Mbona umempa jina hilo? (Huku anacheka)
MAMA: Aaaaah mwanangu ni marefu. Mamaake ambaye ni mwanangu, nilimpeleka university akasome, na hii ndio zawadi aloniletea kutoka university
[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom