lol nimemruhusu ila kiroho kinauma.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

lol nimemruhusu ila kiroho kinauma....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by condorezaraisi, Apr 21, 2012.

 1. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani Niko mbali na mheshimiwa
  Kanambia mama watoto naomba niruhusu leo nitoke out naenda pale kanga moko ...
  Nimejikaza na kumwambia pls go honey you know i trust you..
  ila roho inauma kupita kiasi..
  Nawaza sijui nimwambie usiende ....:doh:
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  itaku-cost
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Swali la msingi ankwenda na nani. Atupie mabodigadi wa kufa mtu.
   
 4. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  LAT itani cost how? yaani nikon very far nimwambie asiende?
   
 5. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anakwenda na rafiki yake walisoma chuo ndo alivyonambia
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  pole jamani,ila siku nyingine mng'ang'anie uwe unatoka naye out
   
 7. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sipo huko nipo mbali excellet
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ukimwambia asiende utajuaje hajaenda?
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  pole,distance love yahtaji moyo wa ujacr. mwache aende as long as mnaaminiana haina shda. hta km ukimwambia acende anaeza kwenda kwa usiri mwache aende
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  inaonekana jamaa anaona hataweza kuangalia milioni lawama vizuri..
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  duh kanga moko?...bora kakwambia ukwel lakini...yuko kona bar huyo...kamisi kitumbua huyo...done!
   
 12. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  You know him well,amini kua hawezi kufanya something stupid kama hana historia hiyo,be happy cause hata kama asingekwambia lazima angeenda na hata ukimwambia asiende kama amedhamiria lazma ataenda..usijipe headache..
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Haaminiki, kama ungekuwa na ndugu yako wa kiume huyo angekuwa bomba. Rafiki yake anaweza kumtupia taulo akikosea. Lakini mwisho ili ulale mwamini kama njia zote hapo juu zimeshindikana.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  kwa sababu ushajitoa muhanga vumilia tu....jikaze ki-soap.....
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Bora umemruhusu, wanaume hawahitaji kukatazwa ambayo wameshayaamua. Hapo umepewa taarifa tu (shukuru kwa hilo). Muhimu ni kumsisitiza awe makini.
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  akirudi atakupiga ban
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Lol! Dawa yake akikuambia naomba niende khanga moko, muambie sharti ni moja tu: kwa vile ulipo hamna khanga moko akuruhusu uende nude club. Mapenzi ya uhuru matamu asikuambie mtu!
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  basi imekula kwake
   
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0

  Tuliza moyo ndugu........

  Vya kawaida sana hivyo, anaeza asikuage na akaenda!!
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Ni bor Kakwambia yaani hiyo ilikuwa ni taarifa ruhusa kamili anayo mwenyewe
   
Loading...