Baharia kimeo

Ye Soya

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
237
248
Ukiwa muongo uwe makini... Jamaa mmoja alijifanya baharia akawambia watu aise nimezunguka bandari zote duniani kuanzia China, Africa yote ulaya marekani nk. Akaulizwa kwahiyo UNAIJUA SANA JIOGRAFIA? akajibu Pale Jiografia tulikaa wiki ila sikuteremka melini nilikuwa naumwa. Watu wote.,.. Mh hapa kazi ipo!
 
:lol::lol::lol::lol::lol:
:lol::lol::lol::lol::lol:
:lol::lol::lol::lol::lol:
:lol::lol::lol::lol::lol:
:lol::lol::lol::lol::lol:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom