Je, unakumbuka ulivyokuwa ukifikiria ulipokuwa mtoto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, unakumbuka ulivyokuwa ukifikiria ulipokuwa mtoto?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bra-joe, Apr 13, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka nilipokuwa mtoto kila nilipokwenda stesheni (Tbr) nilikuta injini za tren zipo on muda wote, pia mabehewa yakisukumwa kwenda mbele na nyuma. Hapo nilidhani kwamba injini ya treni ikizimwa basi haiwaki tena, na mabehewa yakikaa muda mrefu bila kupelekwa mbele na kurudishwa nyuma (shanting) hupata kutu na kusababisha injini kushindwa kuyavuta. Je wewe unakumbuka nini ulipokuwa mtoto?
   
 2. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mwlimu wa sayansi alifundisha matumizi ya darubini.
  akasema moja ya hayo ni kuangalia kitu kilichombali,
  kukivuta na kukiona kwa ukaribu kama vile kiko karibu zaidi.
  Mimi nikadhani ni umbali wowote. kaka yangu flani akatoka nairobi,
  akawa anapiga story kua darubini yake imeharibika. me nikajua bro hua anatuangalia
  tokea nairobi hadi hom (moshi).
   
 3. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  duh hii kali nimesmile kidogo heheee
  mi nilipokuwa dogo nilikuwa najua mtoto anazaliwa kwa kunyea na si kwa kukojolea lol!
  pia nilijua wakubwa hawajambi wala hawanyi wanaofanya hivo ni watoto tuu mmh.
   
 4. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nilipokuwa mdogo, nilikuwa nafikiria kuwa Wazungu (generalization) kuwa hawaendi haja kubwa pia kuwa watu wenye upara wana fedha sana pia kuwa Albino hawafi! Kaazi kweli kweli, Utoto!
   
 5. w

  wa home JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mie nilijua kua wanawake hawanyi mavi wala hawajambi.
   
 6. muuza ugoro

  muuza ugoro JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  nlidhani 2nakula ile 2we wakubwa, na wakubwa hawali coz wameshakua wakubwa.
   
 7. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mimi nilikuwa nafikiria tukila chakula kinajaa hadi kwenye koo
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  mie nilikua najiuliza sana kwa nini majumbani umeme unakatika lakini si kwenye magari..basi nilidhani tanesco wanawapendelea wenye magari wakati wa mgao!
   
 9. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  ha ha haa nakumbuka cku moja nalaumu ivyo mbele ya mama,mama alcheka sana mpaka machoz,yeah utoto bana
   
 10. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Nakumbuka nilivyokuwa mdogo nilidhani mtaani kwetu ndio DUNIA nzima, nje ya hapo hakuna watu tena ni patupu (EMPTY)
   
 11. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  kila mmoja wenu alijuwa kuwa watoto wananunuliwa.
  Na kama hukupatwa hapo basi mlikuwa mnajuwa kuwa watoto wanazaliwa kutokea kwenye matumbo ya mama zao ambayo yanakuwa yanachanwa.
   
 12. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Nilpokuwa naona wenye govi na mie sina nilidhani...baba mtu alikuwa na govi au katahiriwa. Kumbe hata kama umetairi unazaa mtoto mwenye govi!!!!
   
 13. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Nlikua darasa la tatu tunafundishwa kingereza. Nikamuuliza mwalimu na majina ya watu nayo yanakiingereza chake. Mwalimu alinicheka!
   
 14. f

  freakshow Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hahahaha!ulikua bonge la box
   
 15. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,724
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Mi nilikukuwa nafikiri juu ya mawingu kuna bati kama zilivyo nyumba zetu,pia nilifikiri tunaishi ndani ya dunia kama vile ndani ya mpira,na nilifikiri ukitembea hadi mwisho wa sky unapoina utakuwa umefika mwishoni mwa dunia na kuna ukuta. Pia nilifikiri upinde(rainbow) ina mwisho inapoangukia,basi wacha siku moja nikiwa na wwenzangu tufuatilie upinde ulipoishia,tulitembea kama kama kilometa kama tatu hivi lakini wapi hatukufanikiwa kuukamata maana tulikuwa tuanaona kama umedondokea sehemu ukifika hapo hola unaona umesogea mbele.
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...nilikuwa nikimwona mjamzito najua ame'du' na kuanza kuhisi ilikuaje!
   
 17. B

  Baby shangazi Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi nlikua nafikiri kama kwetu jua linawaka au mvua bas dunia nzima itakua hvo! 2metoka mbali mwe
   
 18. Ozee

  Ozee Member

  #18
  Apr 14, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilikuwa nasikia watu wakimwita balozi wa kijiji chetu Ngamilo basi nikajua mabalozi wote wanaitwa mangamilo yani ni kama jina la cheo chao..
   
 19. pepim

  pepim JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dah!!Umenirejesha mbali aisee, mi nilikuwa nawaza kuhusu mwezi...Niliamini kuna fundi anayehusika na kuutengeneza mwezi ndio maana usiku unaonekana na mchana hauonekani..Na nikatamani hiyo kazi ya kuutengeneza mwezi iwe yangu vilevile watu wa nyumbani walinipa jina la utani(fundi mwezi) kutokana na mawazo hayo
   
 20. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kabla sijaanza shule Nilidhani nikianza shule, siku ya kwanza ndo darasa la kwanza, ya pili ndo la pili, ya tatu la tatu ...nk. Nilishangaa sana nilipoanza shule, maana kila siku ninapoenda shuleni bado niko darasa lile lile la kwanza....nilikasirika sana!
   
Loading...