Habari za Jumatatu wanajamvi!!
Kwa wale wenzangu poleni na mning'inio!
Nije kwenye mada,
Jana tukiwa na washikaji tunapiga Moja-Mbili na marafiki wakiwa na wenza wao, ikaja story eti linapokuja...
There's a speed reading test on the Staples site - the average is 300 words a minute
I've just taken the test and it came out at 661 per minute which is 164% higher than average
Take the test...
nimepata habari yamotooo tena sasa hivi Nikiwa hapa gereza la ukonga,nikitumikia kifungo cha miaka 11 tangu mwaka jana,ni kwamba msanii Steven Kanumba amefariki dunia! ,bado sijajua sabb ya kifo...
Wakuu.
Miezi michache ijayo ntakua na safari to HONGKONG,but sijui air ticket ni $$$???
Na pia hotel how much there?na jee E.African foods zinapatikana ktk hotel hizo?
You know I don't use...
Mlevi katuma meseji kwa mke wake; "Darling nipo bar napata mbili tatu,nitaludi nyumbani ndani ya dakika hamsini zijazo,ukiona kimya tafadhari soma tena hii meseji". mke wake akakaa dakika...
Mzee mmoja toka bush ambaye hajui vizuri kiswahili aliingia hotelini ili ale kuku ila alisahau anaitwaje. Kuangalia meza ya pili akaona kijana mmoja kaletewa mayai ya kuchemsha kwenye sahani. Basi...
Binafsi nimezaliwa tarehe 25 novemba...na ninashare birthday na aliyekua mtoto wa Rais wa Marekani J.F Kennedy Jr.
Vipi ninyi wenzangu siku zenu za kuzaliwa mnashare na watu gani maarufu wanaweza...
Jamani member wa JF,hv unapochangia uzi huu unakuwa ktk mkao na mahala gani?
Me binafsi nipo ndani ya Bajaj naelekea Leaders kucheki Msondo ngoma na Twanga.
Nimekunja 4 wewe je?
Mwaga data zako hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.