How many teeth do you have??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Mimi niko na 31......nimeng'oa moja

How many teeth do you have?
 
Mimi niko na 31......nimeng'oa moja

How many teeth do you have?
Boflo,idadi yangu:
Chukua yako yaliyobaki,
utoe na manne kisha weka lako ulilong'oa,jumlisha na sita kisha yang'oe mawili.
Ndo utapata idadi ya meno yangu.
 
Last edited by a moderator:
Manne, mawili juu, mawili chini... Unataka nikuazime baadhi?
 
Mh. Spika naomba muongozo, ikiwa ana jino kipande (huenda lilikatika kwa ajali) hapo tutahesabu jino kamili ama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom