Siku ya bangi duniani

Siku ya bangi duniani

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
#angalizo: Bob marley
day isiwe kigezo cha
kupuliza bange ovyo..
 
Kwa hiyo watu wanaruhusiwa kupuliza kwa mpangilio? That's what you tacitly imply...
 
Mi ntapuliza kwa mpangilio,misokoto mitatu after every three hours!
 
what a day nilijua ganja day you mean it hiyo ni nzuri sana siku bomba kupita zote :majani:
 
Siko tayari kuonja hata kipisi kimoja... Ila ntakuwa "pusha" wenu..
 
Bangi ndo mpango mzima hata shule nilivuta bangi nikapasua pepa na sasa nakula bangi nafanya kazi kwa ufanisi ingeruhusiwa tu ivutwe hadharani cjui kwnn wazee wa maandamano hawaioni hii hoja watusaidie bange oyeeeeee!!
 
..mie ndio niko hapa kawe club ..pande za beach na kimalizia cha malawi....
 
bangerian wengi humu Jf.
Naskia nishai yake haitoki miaka 40.
 
Mi ntapuliza kwa mpangilio,misokoto mitatu after every three hours!

Baba V yah,jitahid ufanye hvyo walau mara3 kwa wiki,itasaidia kuimarisha afya yako ya akili
 
Last edited by a moderator:
Happy Bangi's Day.

Wapulizaji tunakutana uwanja wa baresa manzese na kuvuta bure.
 
what a day nilijua ganja day you mean it hiyo ni nzuri sana siku bomba kupita zote :majani:

ndetichia leo ni siku rasmi ya kumuenzi bob marley so jiachie tu ila kistaarabu,usimbuguz jiran
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom