wabongo mpunguze unene | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabongo mpunguze unene

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BADILI TABIA, May 18, 2012.

 1. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  unakaa kwenye bus na mtu mnene kama tufe, mpaka tunachoreana mstari,mambo gani haya!

  Mifuta na minyamanyama yote hiyo ya nini?
  Unene sio sifa, eboo
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,508
  Trophy Points: 280
  Hata wewe utafika wakati utanenepa hivyo hivyo,
  tatizo wabongo tumekuwa wavivu sana,
  hakuna kufanya kazi yoyote, hakuna zoezi,
  ni kukaa ofisini, kwenye gari, kula kulala utaacha kweli kuwa chinene.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  halafu na ubonge wake anataka ajimwage utafikiri siti zote amelipia eboh
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  inipitie mbali kwa kweli, cha niendelee na diet na mazoezi, mambo gani haya..............
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  sasa jamani BT.....tujipunguzeje sasa na ndio tushakuwa wanene.......sio vizuri kutusema hivyo ujue...
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  preta nimekereka mpz,
  halafu mtu awe mstaarabu sasa anajimwaga wakati anajua gari yenyewe yutong!!!!!!!!!
  Kanibana hadi nimemchorea mstarii...
  Anatuma msg mkono uko kuleeeeeeee ambako ni mapajani mwangu(huyu ni mwanamke) mambo gani haya

  kuna umuhimu wa kufundisha mazoezi, mashukeni, actually vipindi vya michezo virudi, mchakamchaka urudishwe na matangazo yanayoletwa kwa hisani ya watu wz marekani wazungumzie diet na mazoezi.....

  Unene ukizidi ni hatari kwa afya ujue
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  BADILI TABIA mupenzi mm unene wangu ni wakuzaliwa...nifanyeje?...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  bongeeeeeeeeeee....!
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sasa BT kama mie unene wangu ni wa viungo vyangu vya ndani tu, viungo vya nje ni vyembamba!
  Ntavipunguzaje ? Nikisema nivipe mazoezi mengi , ndiyo kusema itanilazimu niparike kipara sana au ?
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,802
  Likes Received: 2,575
  Trophy Points: 280
  Unene hapa bongo ni status qou statement Ie mambo yangu supa!
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole sana ndo bongo yetu hyo halaf unakuta anaenda feli kununua samaki wa kuuza..
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hakuna unene wa kuzaliwa, piga zoezi, kuka chakual bira, acha mibia, misukari na mimafuta.......kula mbogamboga na matunda kwa wingi

  Utapungua, hata kama sio kuwa slim, ila minyama uzembe utaipunguza na kujenga afya yako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mmmmmmh basi kazi ipo
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hahahahahah yaani kazi ipo, halafu hana wasiwasi mwenyewe, tazama keshaniwekea mkono tayari mpaka nifike safari yangu nitakomaje?
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  huo unene wako ndo unaofaa Judgement, usiupunguze hata kidogo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  BT bia mm sigusi bana...kuhusu chakula bora wala usiseme...maana nina dayatishian naishi nae...ndie anaratibu ukulaji wangu aisee...nahisi hiki ni kilema! boh!
   
 17. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  pole...ngoja aanze na kusinzia...uone zigo utakalobeba!...
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  si kikema, haiwezejani ikawa hupungui, isije unakula masalad umejaza mi olive oil kibaaao useme unanenepa, au unaskip mlo ila ukija kula, unakula resheni ya watu watatu.....
   
 19. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mmmhuu BT unachapiaje leo?...hebu soma comment zako zote...l.o.l!kweli huyo bonge kakupanikisha!
   
 20. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Hii sredi iko chit chat lakini ndo ukweli wa mitazamo ya wa tz wengi,eti unene unaonyesha uko safi, aa wapi !!. Asee mi na ndugu ya bonge ikitokea shida ya haraka gari likakosa seat bora apotezee safari. Kusimama 15 mins kwake ni adhabu tosha. Mi kama ni safari ndefu tunachukua seat tofauti.
   
Loading...