Usicheke..!

Tz-guy

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
436
88
Mzee mmoja toka bush ambaye hajui vizuri kiswahili aliingia hotelini ili ale kuku ila alisahau anaitwaje. Kuangalia meza ya pili akaona kijana mmoja kaletewa mayai ya kuchemsha kwenye sahani. Basi akamwambia mhudumu huku akinyooshea mkono yale mayai "NILETEE MAMA YAO"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom