Safarini HONGKONG!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safarini HONGKONG!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by CHAI CHUNGU, May 20, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wakuu.
  Miezi michache ijayo ntakua na safari to HONGKONG,but sijui air ticket ni $$$???
  Na pia hotel how much there?na jee E.African foods zinapatikana ktk hotel hizo?
  You know I don't use frogs atall!
  Pia vissa ni how much per two weeks?
  Na jee kuna ugumu wowote kama nikitaka kwenda beijing from HONGKONG?
  Kwa anayejua pls anifahamishe.
   
 2. T

  TUMY JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bei za ndege zinabadilika kila siku kwa hiyo kukusaidia nenda kwenye makampuni ya ndege watakupa bei, uzuri ni kwamba una wigo mpana wa kuchagua kutokana na kuwa na makampuni mengi na kumbuka unapofanya booking mapema na bei pia inakuwa ndogo, binafsi nakushauri nenda emirates pale haidary plaza watakupa details zote utakazo hitaji ndio ambao nina uzoefu nao.
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Thank you ndg yangu,
  Ntajaribu kuwacheki,jee niki-google siwezi pata some details zao?na jee vp hili la vissa kwa asian country hasa HONGKONG?na nilazima ni apply vissa Dar au naweza shughurikia ntakapofika HONGKONG airport?
   
 4. T

  TUMY JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kupata details kwenye google inawezekana kabisa ila uwe na uhakika la link unazozitumia kwani kuna habari nyingi na si zote ni za ukweli ila walau unaweza pata pakuanzia, kuhusu Visa ni vema ukamaliza mambo yako dar kwani itakupunguzia gharama na usumbufu kwenda huko huwa hawasumbua visa kwani wako kibiashara zaidi, hakuna ugumu wowote
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Muulize Mange Kimambi kwa U-turn she is an expect Hong kong.
  She has been there, only few weeks go.
  You will get the first hand information.
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Msalimie dada Namtei, nitakutafuta nikupe mkungu wa ndizi umchukulie.....
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ok mkuu,thanks kwa ushauri!
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Poa mkuu,but niandalie na EXPORT DOCUMENTS zikiwa attached na health certificate!
   
 9. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ok mkuu!
   
 10. princetx

  princetx JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 582
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Hong kong hakuna applied visa au lugha nyengine niseme visa on arrival hotel za kumwaga inategemea na finance position yako
   
 11. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Good to hear that.
  Sasa how much is air ticket?na ni $ ngapi ntatakiwa kulipa for vissa?
  Kutokana na uchumi wangu mdogo ntaitaji normal hotel,jee ni bei gani?na jee E.African foods zinapatikana humo?bcoz mambo ya kulishana vyura na kobe soo!
   
 12. princetx

  princetx JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 582
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Wahindi wapo wengi na migahawa Yao waunauza chips kuku wali, chumba bei ya chini Kama elfu 80 za kibongo
   
 13. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Thank you mkuu for some information,kwenye chumba hapo niliandaa $100,so for 80,000tsh which is around $50 its good for me,so you don't know how much will cost for air ticket?about food for me haitanipa shida kula chips kuku although my common food is "supa"
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Bei ya tiketi hutofautiana kutokana na misimu, kipindi ambacho bei huwa chini ni kipindi cha baridi kali ambapo huanzia mwezi wa kumi hadi mwezi wa pili.
  Pia kama unataka kusafiri kwa bei rahisi kata tiketi yako kwa bei ya chini kupitia mashirika kama Ethiopian Airline(wapo opp na Serena Hotel) au Kenya Airways. Booking mapema zaidi ni nzuri maana ni rahisi kupata bei poa.

  Sehemu ambayo kuna hotel za bei rahisi ni eneo linaitwa East Tsim Sha Tsui hapo utalala ktk vijihoteli vya bei ya chini kidogo.
  Vyakula vya kibongo huwa vinapatikana kwa mshikaji mmoja hivi nimesahau jengo analopatikana ila ni hapo hapo East Tsim Sha Tsui..lakini ukiacha hivyo huwa kuna misosi ya kihindi ambayo ladha yake haitofautiani sana ya kibongo pia hupatikana.

  Kwa Mtanzania kuingia Hong Kong utapewa visa ya 90 days pasipo kulipia ambayo utagongewa hapo hapo airport ingawa kwa watu wanaoingia kwa mara ya kwanza si ajabu ukawekwa kando kwa mahojiano zaidi ya wapi utafikia, utakaa muda gani,una akiba ya hela kiasi gani,shughuli iliyokuleta n.k.

  Mkuu kwenda Beijing toka HongKong inawezekana ila itakubidi utafute visa ya China PR, binafsi ningekushauri uitafutie hapa hapa Bongo ili usijekutana na vishoka watakao kulaghai maana wapo wengi tu pale HongKong. Huwa kuna treni inayosafiri kati ya HongKong na Beijing na ni safari ya zaidi ya masaa 24 mkuu maana umbali ni mithili ya Dar to Lusaka au Harare hivi. Usafiri mwingine ni ndege ambazo huwa zinakuwepo daily.

  Tahadhari:
  Kuwa makini.na watu waoitwa Wabongo ukiwa HongKong maana wengi ni jua kali, maisha yalishawashinda Bongo hivyo wanaishi kwa kutegemea wageni wa first time kama nyie ili wawakamate masikio. Na huwa wanakua wachangamfu kinoma wakijifanya kila kitu wanajua.
  Ukifika airport badili hela zako chache toka USD kwenda Hong Dollar nyingine utazibadili ukishafika mjini maana rate za airport huwa za kidosi.

  Zaidi ingia Google halafu download HongKong MTR System Map, hii ni ramani ya zile treni za kasi itakusaidia sana ktk usafiri maana ina majina ya kila kituo na hicho "East Tsim Sha Tsui" utakiona kuliko kutumia daladala ambazo utatumia muda mrefu kwenda mahali unless uwe umeenda kutalii daladala ni poa coz utaona vizuri sehemu tofauti za mji.

  Mkuu natumia simu kuandika sasa inakua tabu kidogo kuandika mambo mengi anyway kwa leo nadhani haya yatakufaa wewe na wengineo.
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  HONGKONG MTR

  1.bp.blogspot.com/_XULsk_L5JCM/R1Kjx-3h-SI/AAAAAAAAAcg/GkbOqrtiYSg/s1600-R/MTR_routemap.jpg

  tumia hiyo link kupata ramani ya Metro System
   
 16. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ahsante sana mkuu!
  Nadhani ntakucheki kwenye PM ili unipe some more info.
  Pia safari yangu itakua kati ya nov-dec.Na nisafari binafsi,
  So kwa miezi hiyo nawezalipa air ticket how much?
   
 17. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  ili swali hawataki kulijibu,nadhani walisafiri siku nyingi...ila nawe acha uvivu google fasta fasta upate ata picha ya kuanzia.
   
 18. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  safari njema msalimie ma doudou na mafong na young hifan
   
 19. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,099
  Likes Received: 6,565
  Trophy Points: 280
  Msalimie Miriamu Odiemba.

  Huyu hapa:-

  [​IMG]
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,033
  Likes Received: 23,967
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo mwambie kabisa aingie Seven Eleven akutane na manigger wenzake na kunywa bia za kopo kwa bei chee huku akiangalia dada zetu wanavyojipitisha kuuza "mali" zao ili wapate hela za kuishi.
   
Loading...