Wanawake wa Mikoani..Tatizo nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa Mikoani..Tatizo nini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judi wa Kishua, May 21, 2012.

 1. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  Nimegundua tatizo moja kubwa sana la wanawake wa mikoani..hawajiamini kabisa wanapokuja Mjini.

  Ivi hii inasababishwa na nini?
   
 2. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unataka wajiamini kwenye nini kutongoza vidume?
   
 3. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Au kuvuka barabara kama mimi hapo si unacheck nimeshikwa mkono?
   
 4. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ha ha haaaa.. !! Ha ha haaa!! Yeisha kushindaaaa!! Ha ha haaa.. Ulizoea vya kunyongae sasa hivyo ni original havinyongekii.. Nimecheka kwel!!
   
 5. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hatuna tatizo na tuko poa kama jf na hatudanganyiki ng'oooooo!
   
 6. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  mkija mjini mnakuwa juu juu sana..nikupe mfano?
   
 7. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  uko posta nini na bahasha ya kaki unasaka ajira?uwe mwangalifu maana uku gari huwa zinawafundisha mji..
   
 8. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  simaanishi ivyo..mfano binti wa mkoani akimuona wa mjini anakosa amani..we ujaona hii kitu?
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  hawajiamini kivipi? kwenye nini?
   
 10. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  umecheka nini SALMA2015?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  uko kwenye daladala umekaa siti moja na binti kutoka Sanya juu..mnatoka k/koo mmepanda gari za mwenge,mmefika sinza/mugabe binti wa sanya juu ananyoosha nyoosha kishingo chake,unaona kabisa anahisi kakaribia alipofikia ila kashasahau jina la kituo,ila kuuliza anakuonea aibu utamstukia wakuja..nawe ushamstukia jinsi anavyoangaika mpaka jasho linamtoka,tumeigusa kumekucha shingo inazidi kuangaika...anakutupiatupia kajicho kakuiba kama umemgundua,we kimya uko bize na ipad yako kama ujamstukia vile,jinsi ulivyo relax unazidi kumpa presha...

  Kwa situation kama hii,mtu akikuomba umsaidie kumfahamisha kwamba kashafika remmy, atapungukiwa nini..
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kumbe:poa
   
 13. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Mkoani stars (jackline wolper na irene uwoya) vs Donta stars (wema sepetu na jokate)....mjini ni mjini labda na wa mjini wakienda mkoani wanaonekana hawajiamini kwani mtu kwao!
   
 14. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  we unapenda chini? hahahaaa
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,478
  Trophy Points: 280
  siyo wote bana,
  hata hapa bongo wapo ambao hawajiamini hivyo hivyo.
   
 16. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hapana hapo nilikuwa kwa Bi Titi, isitoshe kwetu ntuzu tunapishana na matela yanayokokotwa na ngo'mbe kwenu guta na bajaji zimejam barabara nzima.
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hawajiamini ile miezi ya mwanzo...wape miezi 6 uone..wanawake wa bongo utakuta wana afadhali
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Aisee!:A S-coffee:
   
 19. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mbalu acha vurugu basi kuingia mjini juzi tayari ushakata kamba.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  @Cantalisia hapa unamwambiaje?
  "Be good to the people on your way up,coz you might meet them on your way down"
   
Loading...