Vituko vya mlevi na mkewe

NONGWA

Senior Member
Mar 10, 2012
142
116
Mlevi katuma meseji kwa mke wake; "Darling nipo bar napata mbili tatu,nitaludi nyumbani ndani ya dakika hamsini zijazo,ukiona kimya tafadhari soma tena hii meseji". mke wake akakaa dakika hamsini kimya,kaisoma tena meseji inamwambia Nitarudi nyumbani ndani ya dakika hamsini zijazo ukiona kimya tafadhari soma tena hii meseji.

hahahahaaaa............kumbe kila akirudia mesejiinamwambia vilevile ila inamuongezea dakika hamsini..jamaa akarudi kesho yake asubuhi mkewe alichoka ile mbaya...
 
Back
Top Bottom