tumia akili ya kuzaliwa hapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tumia akili ya kuzaliwa hapo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by tindikalikali, May 27, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Je unaweza kutumia akili yako vizur?

  Hebu jaribu hii, babu na mjukuu wake walikuwa ni wafugaji wa njiwa. Siku moja walitaniana Mjukuu; babu nipe njiwa mmoja ili tuwe na njiwa idadi sawa,
  Babu; mimi ni babu yako nipe njiwa wako mmoja ili nikuzidi mara 2,

  haya hebu nambie sasa babu alikuwa na njiwa wangapi na mjukuu alikuwa na njiwa wangapi?
   
 2. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Niko vizuri kimahesabu jibu lake ni kuwa babu ana njiwa 7 na mjukuu ana njiwa 5
   
 3. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Babu njiwa 7 na mjukuu njiwa 5
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  umepata, onesha mathematically basi
   
 5. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  5mjukuu 7babu, mjukuu akipewa njiwa mmoja babu atakuwa amebaki na njiwa sita na mjukuu kuwa na njiwa sita. Babu akipew njiwa mmoja mjukuu atakuwa na njiwa wa4 na babu kuwa na na njiwa 8 ambao ni mara 2 ya mjukuu
   
 6. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Tunataka njia mliyotumia hapo
   
 7. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Mfano
  Babu=b,Mjukuu=m

  1.Babu akimpa mjukuu njiwa,itakuwa....m+1
  Lakini babu atakuwa amepungukiwa njiwa mmoja..b-1
  Vilevile mjukuu anasema kwamba watakuwa sawa baada ya babu kumpa njiwa,hivyo kihesabu;
  m+1=b-1....(i)

  2.Mjukuu akimpa babu njiwa itakuwa ...b+1
  Lakini mjukuu atakuwa amepungukiwa njiwa mmoja...m-1
  Vilevile babu anasema kwamba akakuwa amemzidi mjukuu mara mbili baada ya kupewa njiwa,hivyo kimahesabu;
  b+1=2(m+1)....(ii)
  Ukifanya mbadala mlinganyo namba moja kwenye mlinganyo namba mbili (substitution)
  (m+2)+1=2(m-1)
  m+2+1=2m-2
  m+3=2m-2
  m-2m=-2-3
  -m=-5
  m=5

  lakini,b+1=2m-2
  b=2(5)-3
  b=7

  Hivyo babu ana njiwa 7,mjukuu ana njiwa 5
   
 8. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  hivi si wewe uliyepata A+ Necta kwa Mathe Taifa zima? Nimesahau mwaka.
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  good analysis mkuu
   
 10. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network connected !
   
Loading...