wapi pa kutoka ukiwa mwanza

tsar

Member
Mar 15, 2011
74
2
Wakuu,nipo mwanza kikazi na natafuta mahali pa kwenda kurelax mchana huu na kutoka usiku.
Naombeni msaada wenu wenyeji wa maeneo ya kutembelea
 
dah inaonekana mwnz kuna wageni wengi sana, ngoja nkupm namba ya beibe nasty au charmininggirl wakuonyeshe jiji.!!! bt plz nikuelekezwa tu na sio biashara nyingne..
 
inategemea na mfuko wako! kama uko vizur chakula cha mchana nenda kwny bufee GOLD CREST, Kama kipato cha kati nenda VILLA PARK / VICTORIA PRINCE. Ucku vivyo hvyo. hayo ni maeneo ya katikat ya mji na karibu na mji. Nje ya mji km uko poa nenda MALAIKA BEACH, ISAMILO LODGE AU CHAKOLIPS... Mengne wataongeza wadau! Karibu sana Mwanza.....
 
nashukuru sana Charminggirl
nimefikia hapa gold crest.
wajua visiwa vyovyote vya kutembelea?
 
Last edited by a moderator:
visiwa nenda Saanane Island... je una usafr au Nikupm no. ya dreva tax atakaye kuzungusha jijini?
 
c ndo hvyo japo beibe kakmbia.. we nae unamwonyesha maeneo matawi mpe location za mwaloni au igogo kule akale lunch uswaz

dats y nkampa option,km yuko vzur ndo aende huko. kama wastan aende Villa na Victoria P. kuna chakula kizr pia ni reasonable!
 
visiwa nenda Saanane Island... je una usafr au Nikupm no. ya dreva tax atakaye kuzungusha jijini?

Nashukuru Charminggirl kwa ukarimu wako lakini la usafiri nilishaweka mambo sawa.
saa nane panaendekaje huko,kuna chakula na malazi?
kama yawezekana nipeleke tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Charminggirl kwa ukarimu wako lakini la usafiri nilishaweka mambo sawa.
saa nane panaendekaje huko,kuna chakula na malazi?
kama yawezekana nipeleke tafadhali.

asante mkuu,nipo kazn /ofcn kwangu cweztoka hata kwa dk 5. saanane kuna chakula na vinywaji bt hakuna malazi. vitu ni expensive sana km vp beba vinywaj vyako,bites,ama chips kuku/chochote kinachobebeka. thn mwambie huyo wa usafr atakuelekeza jins ya kwenda.
 
hahahahahaha ata dk 5 jaman.!!!
 
asante mkuu,nipo kazn /ofcn kwangu cweztoka hata kwa dk 5. saanane kuna chakula na vinywaji bt hakuna malazi. vitu ni expensive sana km vp beba vinywaj vyako,bites,ama chips kuku/chochote kinachobebeka. thn mwambie huyo wa usafr atakuelekeza jins ya kwenda.

I came with an office driver nae ni mgeni mji huu.
Utakuwa umenisaidia sana kama utanielekeza wapi pa kuenda ili nipate usafiri wa kwenda huko na costs zake.
ubarikiwe sana mrembo
 
ok,bas chukuen tax hapo GC mwambie awapeleke sehemu ya kupandia boat kwenda saanane,ni km sh.2000 kwa tax mngekuwa wenyej mngetembea ni km dk 10 tu kwa kutembea.
 
kuvuka km hawajapandisha bei ni sh.3000 @ ni karb sana km mwendo wa dk 7 kuvuka kwa bôat
 
Chamingirl funguka mama.. Kuwa makini na watu wa mitandaoni, utaliwa! Mi nimekulia na kusoma Dar.. Ila naishi Mwanza kibiashara.. Staili za huyu jamaa ndo zetu tulioishi huko, huwa wanaamini madada wa Ziwa ni wepesi kuwaingia kwa teknik za kimatawi kama mleta thread.. We anasema yupo Gold Crest anaishi halafu anaprolong mazungumzo aonyeshwe sehemu nzuri.. Hapo hotelin hajaambiwa??

Nahisi anaweza kukuanzishia private chat ili muonane.. Hawa watu wabaya sana.. Simuonei wivu wala simsemi vibaya, ila type yake nna xperience nayo.. So ulivyomshauri inatosha! They tend to use very polite and humbly way.. Mwisho wa siku sasa!

Ushauri wa mwisho Kale Kamanga Garden kajirushe hapo hapo hotelini kwako.. Ila usiguse dada zetu!
 
Mkuu mbumbumbu nashukuru kwa input yako kwani si rahisi kujua intention za watu waulizao vitu mbali mbali mtandaoni.
Sina nia yoyote mbaya na ndio maana nikaomba swali langu la mwisho lilikuwa ni kujua wapi naweza kwenda kupata usafiri wa kwenda kisiwani.ungekuja na jibu la swali langu ningeshukuru zaidi na tahadhari yako ya pm kwa Charminggirl haiswihi kwani hata huo mpango sina.
Nadhani itakuwa vyema kama wewe ndio ukaanza kum pm kwani tushajua unafanya biashara(joke)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom