Ulikuwa wapi Siku hiyo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulikuwa wapi Siku hiyo??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mchochezi, May 22, 2012.

 1. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  Tujikumbushe Kidogo wadau wa JF, siku ile ya Alhamisi ya tarehe 14/10/1999 mida ya asubuhi kama sikosei ulikuwa wapi na unafanya wakati Kifo cha baba wa Taifa kinatangazwa!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unauliza ili iweje?
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa klass basi ikapigwa kengele tukakusanyika kisha tukatangaziwa msiba, ila tulipoambiwa kuwa shule itafungwa kwa wiki mbili kwa ajili ya kuomboleza nilifurahi sana.. but now i'm sad:(
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Masikini, kanauliza kwa hasira eti kisa kwa kuwa kenyewe kalikuwa hakajazaliwa.. Lol
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  You wish. .
  Mimi naweza kuwa bibi yako au nyanya kwa lugha nyingine.
   
 6. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka nilikuwa nadrive nikashituka kusikia wimbo wa taifa ukipigwa na kufuatiwa na sauti ya aliekuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania WBM.
   
 7. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Najiandaa na graduation ya darasa la saba ila kutokana na huo msiba haikufanyika tena..
   
 8. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  dah hicho kipind nlikua darasa la tatu, kusoma nini..., nishajua basi kila gazeti nilionalo nasoma basi alipofia huyo JK wa kwanza huko LONDON lilinisumbua kutamka hilo neno
   
 9. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mie nilikuwa form3 shulen kwetu tv ilikuwa haiwashwi mpaka jmosi so siku hiyo kengele ikagongwa Sister Mkuu tukatangaziwa msiba na kuambiwa twende daining hall tv imewashwa tundelee kufatilia habari za msiba wa baba wa taifa mpaka atakapozikwa ndipo utaratibu wa kuwashiwa jmosi na jpili utarudi mahala pake.
   
 10. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lol hivi Lizzy huwa unafikiriaga nn???mie unaniachaga hoi sana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa mbeya kimaisha,
  nililia sana hadi mwalimu akanijia kwenye ndoto.
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mbona mshari sana wewe dada, kwani usipochangia kuna tatizo gani.
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa juu ya kifua cha shemeji yako, ile kusikia Mzee Kimavi anatangaza msiba, na mashine ikanywea papo hapo.
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kama hukuwa na jibu basi ungepga kmya tu. Mbona unaropoka sana we mdada?
   
 15. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Lipo tatizo.
   
 16. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa medical school mwaka Wa pili na tulikuwa kibong'oto hospitali tukijifunza matibabu ya Kifua kikuu, mganga mkuu Wa Hospitali hiyo alikuja wodini kutueleza Habari za msiba Wa baba Wa Taifa, sote tulisikitika!!!
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani nikichangia kuna tatizo gani?

  Yummy hata sijui mwaya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Karibu tena Kibong'oto. . .
  Siku ukija usiache kunitembea maana hua nafanya fanya usafi kule juu.
   
 19. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapo chachaaa.....mi sioni tatizo wifi yangu Lizzy hebu wakuache, kila mtu anaandika anachojisikia! Kwanza sikuona tatizo kwa swali lako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sasa ameropoka nini jamani si ameuliza mbona mnakua wakali kama pilipili??? Nicas Mtei hata wewe bosi wangu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...