kUpEnDa vYa bUrE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kUpEnDa vYa bUrE

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by bampami, May 27, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,859
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 280
  Jamaa kaingia Bar; Jamaa: "Muhudumu, nipe
  kinywaji na
  mpe kila mtu humu ndani
  kinywaji,
  maana wakati napata
  kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji." Haraka sana
  muhudumu akagawa
  vinywaji, Jamaa: "Muhudumu nipe supu
  na kila
  mtu humu ndani mpe supu
  maana
  ninapokunywa supu kila mtu
  lazima anywe supu." Watu wakapewa supu
  tena safari hii wakapiga
  makofi. Jamaa: "Muhudumu nipe bili,
  na kila mtu
  humu ndani mpe bili maana
  wakati
  nalipa bili yangu kila mtu
  lazima alipe yake." Zogo lilianzia hapo sasa
   
 2. M

  Mama Bhoke Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hapo ndipo penye kazi,umeniacha nicheke mkuu.Ilibidi na penyewe wazidishe makofi, kweli walipatikana.
   
Loading...