'Masaburi' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Masaburi'

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzanika, May 27, 2012.

 1. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,210
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  katoto kamoja baba yake Mbunge aliwahi kuckia kauli mtaani kuwa baadhi ya Wabunge wanaongea utumbo kule mjengoni. Akamuuliza dada ake ambaye ni mschana wa kazi hapo kwao!:Eti dada kuongea utumbo ndo nini nimeckia akina baba wanaongea utumbo!
  Dada:nawee kwa maswali,utumbo ni jambo lisilo na faida!
  Siku nyengine akasikia kuhusu masaburi,akamuuliza tena dada yake!siku hyo dada alikua buzy.
  Dada:anh!na wewe achana na maneno ya mtaani,masaburi ni kinyume cha utumbo(alidanganya)!
  Siku moja walienda sokoni,katika pitapita wakatokea kwnye vibanda vya wauza utumbo!
  Muuza utumbo:dada karibu utumbo fresh bei poa!
  Katoto:(kakadakia faster) we kaka Utumbo hauna faida thi bora uuthe mathaburi!
  Dada:yesu wangu!
   
Loading...