mwanafunzi wa tumaini university amejinyonga

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,698
1,395
itv habari za saa... kijana hamisi amejinyonga jana jioni ktk hostel zilizopo makumbusho bila kuafha ujumbe
..... eeeh wasomi wa tanzaniaaa yetu jamani
 
labda alisha pata tetesi.poris wanasemaje?na marafiki wa karibu je!

from what i saw jamaa he was like normal tu...police report "uchunguzi unaendelea" ..babaake mdogo kahojiwa akasema there was nothing abnormal avout the boy... rafiki zake walikuwa nae fresh tu ila ikafika kipindi jamaa simu yake ikawa inaita tuuu hapokei..ikabidi waebde rum kumchungulia wakakuta kama amelala..ku heki fresh wakagundua jamaa kashaharibu... police were called n some further normal proceedings on these incidents were conducted by the police..
MWANA KAWA MSIRI SANA...LABDA taarifa ya habari ya saa12/jiji letu watairusha tena(itv)
 
Badala lijiue hata liwaziri limoja, anajiua kijana edyuketed na mtanashati.
Roho inaniuma sana...

tena ingekuwa bora yule aliuza vitalu vya uwindaji akanunua jumba la billions kadhaa...
 
Back
Top Bottom