Breaking newz: Ajali kubwa yatokea......

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
Ajali kubwa imetokea muda huu maeneo ya mikocheni dsm baada ya gari dogo alilokuwa anaendesha sisimizi kugongana uso kwa uso na fuso lililokuwa linaendeshwa na siafu. Habari zinaeleza kwamba sisimizi aliumia maeneo mengi ya mwili wake huku siafu akivunjika kiuno na wote wamelazwa hospitali ya taifa ya WADUDU. nikiripoti kutoka eneo la tukio ni mimi reporter wako mtaalam.
 
Your thinking capacity is substandard.
 
Bahati yako umeweka kwenye jokes ungeweka kwingneko lazima tungekutoa nje ya JF walau kwa miaka yote ujifunze kwan kuandika breaking news halafu unaleta utan
 
Back
Top Bottom