CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,254
- 12,872
za jion wapendwa katika jamvi hili. jumamosi jioni nitakuwa musoma kwa wale wanajf wa pande hzo naomba kampani yenu.
N.B. Sipendi kujuana sana, kama utaweza kuja nitakapokuelekeza nifahamu km charminglady not otherwise. masuala ya wewe wafanya nini,jina lako,makazi n.k ctaki. . . . .