Sio kwa akili zako bali....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sio kwa akili zako bali....!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sabry001, Jun 11, 2012.

 1. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Fikiria, ktk maisha yako umepita ktk magumu mangapi ya kukatisha tamaa, umefikiria mara ngapi kujidhuru au kuishi maisha flani yasiyo yako kwa kuwa umekata tamaa, huna tumaini, mbele yako mambo ni makubwa kama mlima, umezungukwa na giza pande zote...lakini ktk yote kuna sauti au wazo hukujia na kukuambia hapana unakosea fanya hv, hapana..ungekwenda huku badala ya kule...unadhani sauti hyo au mawazo hayo ni yako? HAPANA...NI MUNGU...ndio maana tunapaswa kumshukuru Mungu kwa hatua uliofikia hata kama wewe unajihisi ni kwa akili na uwezo wako umefika hapo. Mimi nasema ni kwa uwezo wa Mungu tu niko hapa nilipo, afya, elimu, uchumi, familia, marafiki na hata pendo nililo nalo....sijui wewe mwenzangu?
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hata me namshukuru Mungu kila iitwapo leo, make bila yeye nisingefika hapa nilipo. ameninyanyua kiasi kwamba kuna watu hawaamini nafasi nliyonayo, walidhan me ctatoka lakin kwa nguvu za Mwenyezi Mungu nimetoka na mpka sasa hawaamini. kuna wimbo unasema "wanaokudharau cku moja watakusalimia kwa heshima" huo wimbo huwa unanifariji sana. make nipo ktk hatua hiyo. heshima imeanza kuwepo. . . Utukufu kwa Mungu!
   
 3. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mungu ni mwema
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  wakati wote. . . .
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa!Hili halina ubishi.Ukiwa kwenye raha(unafedha) utapata marafiki wengi,ukipata shida (hasa kufulia) wote huwa wanakimbia hata ndugu huwaoni,utabaki na Mungu tu kwenye shida na raha yeye hatakuacha pekee yako

  Mungu ndio rafiki wa kweli kwenye shida na raha,atakutunzia siri,atakupa ulinzi wakati wote,atakuwa na wewe muda wote ktk magumu yoyote atakuwepo.mwisho utaonekana mshindi wa matatizo,si wewe bali ni Mungu
   
 6. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Aamen!
   
 7. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mi sina la kusema ila mengi kanitendea namshukuru
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tumshukuru MUNGU
   
 9. caven dish

  caven dish Senior Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mh kama mimi mwenzenu hapa... ni kwa neema ya Mungu tu!
   
 10. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mungu ni mkuu sana na nimwema kwa wote wenye mwili
   
Loading...