Chapombee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chapombee

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by elifaraja nani sengi, Jun 11, 2012.

 1. e

  elifaraja nani sengi Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chapombe mmoja alianguka karibu na TBL na kuzimia papo hapo,mara watu wakajaa na kuanza kujadili namna ya kumsaidia,jamaa mmoja akaagiza maji yaletwe amwagiwe ili fahamu zmrudie!gafla chapombe akanyanyua shingo akasema ''acheni use#*n kama ningekuwa nataka maji si ningeenda kuzimia dawasa''
   
 2. H

  HardMartin JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  teh! teh! teh! teh!! mbavu sina
   
Loading...