JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sikia Hii,preta ana mme wake ritz,pia pretta anatoka na rejao,rejao anatembea na smile ambae ni nyumba ndogo ya ritz,naye smile yupo na erickb52 ambaye ni mpenzi wa cantalsia ambaye ana mapedeshee...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo ikiwa ni siku ya wa Baba duniani...je ni kitu gani alichowai kukufanyia Dingi yako ambacho huwezi kukusahau kamwe??(kizuri/kibaya)..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajf! Ni mda sasa WAKUSOMA hajaonekana jamvini! Mtu huyu alipata umaarufu sana hasa kutokana na kuchangia hoja kwa kukosoa maada zote nzuri, alipotea ghafla mpaka sasa hajaonekana mimi kama...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
wanaJF naumbeni msaada wa mawazo,kisaikolojia na vinginevyo yaani lately i have not been myself,because i enjoy doing nothing and i see nothing from the bright side,kila kitu naona kinaenda ovyo...
0 Reactions
2 Replies
590 Views
i hate this game............................................................
0 Reactions
1 Replies
852 Views
cheki hii kitu:A S shade::lying:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
POLISI:"Nimekuja nyumbani kwako kukupa taarifa kuwa ajali ya gari imetokea,mumeo amekufa bilashaka,naomba twende ukaangalie kama utaitambua maiti yake" MKE:"Aaah potelea mbali,usinisumbue...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti jamaa kaingia bar na mkwara... JAMAA:Lete bia moja na kila mmoja bia yake, maana nikinywa nataka kila m2 awe anakunywa.. WATU:DUuuh..muhudumu akaleta JAMAA:Lete mchemsho hapa na kila...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu,jana nlkutana na kipindi ndani ya Clouds TV ambapo Wema alikua ndie msanii aliyepewa nafasi ya kuonekana! Tofauti na lengo kuu, la kpnd la kuelimisha, nlchokiona ni...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuwa huko Tanzania ,kuna waziri mmoja ana sura mbaya, kiasi kwamba siku moja alienda kufungua mradi wa visima vya maji kijijini kwao katika uzinduzi aligoma kuzindua visima hivyo baada ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nitonye ...!! au katutoka.? au ban..? nammiss sana.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mi li haria nimelipania kwelikweli
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nipo na sumry high class...naitafuta Kg..leo nitalala Kahama(ndasa resort hotel)kesho Kg Vox populi,vox Dei
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii imekaaje kulikoni Bakwata kumgeuka Mufti na kumuambia ameifilisi yaani siku zote kuanzia alipoanza hadi kamaliza ndio wanastuka !!! Wamsamehe tu mambo ya wanadamu hata kuwa Mufti mkuu sio...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
wamachame,wakibosho,warombo,wooote mliomo humu ndani nyoosha mkono upate kuhesabiwa kwenye hii sensa ndogo...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
umemkumbuka mzee wako au unaangalia threads humu ndani em nenda kamu "wish" baba yako "happy fathers day" please nakuomba mimi ndo nataka nimu"wish" sasa kwani sikuwepo nyumbani. Make sure that...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Mr&Mrs waligombana Mr kalala kitandani Mrs akalala chini. Mr akawa anaupiga piga uume wake anauambia we hebu tulia hujui tumegombana na tumenuniwa? Mrs akackia akajibu tuliogombana ni sisi siyo...
4 Reactions
60 Replies
15K Views
Sifa za Mume Mtarajiwa: 1. Anapenda Ugomvi. 2. Hana mawasiliano na mke wake mtarajiwa(Simu). 3. Anacheat na wanawake wengine. 4. Hana mipango yoyote ya mbele kuhusu maisha/maendeleo na mke...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hawa Mods wana mengi sana msiwaone hivyo mkawadharau…..Nazungumzia akina Invisible, Paw, Cookie (sio ile ya kupika soma vizuri), Roulette na wengineo. . 1. Kwa mfano wanajua...
6 Reactions
89 Replies
5K Views
Back
Top Bottom