Ha ha ha Waume Watarajiwa someni sifa zenu..........

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Sifa za Mume Mtarajiwa:

1. Anapenda Ugomvi.
2. Hana mawasiliano na mke wake mtarajiwa(Simu).
3. Anacheat na wanawake wengine.
4. Hana mipango yoyote ya mbele kuhusu maisha/maendeleo na mke wake mtarajiwa.
5. Mlevi wa kupindukia.
6. Hapendi ndugu wa mke wake mtarajiwa.
7. Muongo.
8. Hapendi kujadili lolote na mke wake mtarajiwa na endapo litatokea la kujadili anajifanya yuko bize au mkali kweli.
9. Mwepesi wa hasira.
10. Hataki kushauriwa na yeyote yule.
11. Mchafu.
12. Sio mcha Mungu/Ala.
13. Msingiziaji.
14. Anapenda kusikiliza maneno ya watu na kuyafanyia kazi bila kufanya uchunguzi.
15. Anadharau.
16. Anakiburi.
17. Hajui kupanga bajeti katika maisha yake.
18. Anapenda starehe.
19. Mvivu.
20. Hapendi kutafuta suluhisho katika jambo lolote lile.
 
mwanaume wa namna hii hafaikuwa mume....
Anafaa kuwa kipoozeo tu (kama ana maujuzi ya maana, au kama ana mshiko) ukishakata kiu yako unamwaga
 
Hakuna mwanaume mwenye sifa mbaya tuuuuuuu kama ulivyoorodhesha, labda kama ni baadhi tu.
 
hizo sifa haihusiani na mme mtarajiwa,umeteleza sana
 
Back
Top Bottom