nAmTaFuTa "WAKUSOMA" zAwAdi NONO iPo.

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,105
Wanajf!
Ni mda sasa WAKUSOMA hajaonekana jamvini!
Mtu huyu alipata umaarufu sana hasa kutokana na kuchangia hoja kwa kukosoa maada zote nzuri,
alipotea ghafla mpaka sasa hajaonekana mimi kama schoolmate wake namtafuta sana kwani alinikopa sh.1300 mpaka sasa hajarudisha,na kapotea.
PLZ ZAWADI NZURI ITATOLEWA KWAKE YEYE ATAKAYESEMA ALIPO AMA KUMLETA JAMVINI kwani likizo zimekaribia asijeondoka na pesa yangu ninahitaji nirudi na report ya matumizi yote ya hela kwa BABA wakati nipo shuleni.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom