zile meseji za kufowadiana...xtreme na mia zaidi zilipoanza!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
Mr&Mrs waligombana Mr kalala kitandani Mrs akalala chini. Mr akawa anaupiga piga uume wake anauambia we hebu tulia hujui tumegombana na tumenuniwa? Mrs akackia akajibu tuliogombana ni sisi siyo wao we muache aje acheze na mwenzake ila ugomvi wetu upo palepale!!

hii ni kati ya msg nilizowahi kufowadiwa...nikacheka sana...nataka na ww ukopi na kupest hapa moja au mbili kati ya zile zilizokukuna.
 
"Wanaume bana wanachekeshawanapozaliwa hunyonya maziwa ya mama zao...wakifika miaka miwili wanaacha..lakini cha kushangaza wakifika miaka 18 na zaidi wanaanza tena kunyonya maziwa ya mama wa wenzao tena hata hayatoki.. BAGAH
 
Last edited by a moderator:
Jamaa alikuwa safarini..kwenye kiti amekaa na mama mmoja mwenye mtoto..Mtoto akawa anakataa kunyonya, mama anamlazimisha kwa kumtishia kumpa uncle nyonyo kama yeye hataki...mtoto ananyonya halafu anakataa..mama inabidi tena amtishe dogo " nitampa uncle nyonyo"..dogo akanyonya.

Mara ya tatu dogo akakataa kunyonya mama tena "nitampa uncle nyonyo" dogo akanyonya.....Halafu jamaa akiwa na hasira akamwambia yule mama " na wewe uwe unatimiza ahadi hujui nina njaa"

Sent using Philps old model mche wa sabuni
 
Nyingine tukiziweka humu tutalimwa ban, maana zinafaa jukwaa la kikubwa....

Katavi kule kwenye yale maneno makubwa kubwa unaeka nyotanyota...wazee tutaelewa!!tehe!
 
Last edited by a moderator:
Jamaa alikuwa safarini..kwenye kiti amekaa na mama mmoja mwenye mtoto..Mtoto akawa anakataa kunyonya, mama anamlazimisha kwa kumtishia kumpa uncle nyonyo kama yeye hataki...mtoto ananyonya halafu anakataa..mama inabidi tena amtishe dogo " nitampa uncle nyonyo"..dogo akanyonya.

Mara ya tatu dogo akakataa kunyonya mama tena "nitampa uncle nyonyo" dogo akanyonya.....Halafu jamaa akiwa na hasira akamwambia yule mama " na wewe uwe unatimiza ahadi hujui nina njaa"

Sent using Philps old model mche wa sabuni

hii nayo ilikua babukubwa!..hivi watunzi ni akina nani? platozoom
 
Last edited by a moderator:
Thubutu kukutwa umetumia neno "MIA" kwenye title ya thread yako. Utalipiwa bandle lako. Mia
 
baba, mama na watoto wanashare chumba kidogo kimoja! ila watoto wanalala kwenye godoro chini, wazazi kitandani! baba na mama wakawa wanataka ku-cheza mchezo wa kikubwa! mama akawa anagoma anamwambia mumewe asubiri watoto walale, baba akasema hawezi kuvumilia amezidiwa, mama mtu akamwambia basi ingiza polepole bila kelele wala miguno! mchezo wa kikubwa ukaanza, baba akamuuliza mama mbona kama sihisi chochote imeingia?? mtoto mmoja akasema kutoka chini godoroni, 'baba haijaingia hii huku, imepitiliza!' tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! nikila ban BAGAH unipe pasword yako niwe nakomenti kupitia kwako, lolest!
 
Last edited by a moderator:
" Mama mmoja alipmeleka jamaa mahakamani akimtuhumu kwa kosa la kumtukana mbele za watu, hakimu akamuuliza 'kakutukana vipi'? mama akashindwa kusema mbele za watu akaomba pen na karatasi ili aandike hilo tusi. Basi mama akaandika 'twende tukat.****ne', hakimu baada ya kusoma akamuuliza 'Kweli? sasa hivi au baadaye?"
 
duuuuh!...mzee ametisha...kitu ya punda ama?@cacico ntakupm password yangu kwa tahadhari tu!...lol!
ila nimegundua wengi tunafowadiana msg za KINGONO zaidi...umegundua ilo?
 
ha ha haa haaah!! Hakimu naye....!!!
 
duuuuh!...mzee ametisha...kitu ya punda ama?@cacico ntakupm password yangu kwa tahadhari tu!...lol!
ila nimegundua wengi tunafowadiana msg za KINGONO zaidi...umegundua ilo?
habari ndio hiyo BAGAH kwani huonagi hata nyimbo nyingi huwa ni za ngono zaidi na mapenzi???
 
Last edited by a moderator:
Mwanajeshi akiwa kwenye vita aliwateka adui zake watatu, wasichana wawili na bibi yao. Mwanajeshi kwa kiburi akawaambia "sasa adhabu yenu nawa****a wote". Wale wasichana wakasema, "sawa lakini tunaomba basi bibi yetu umhurumie usimfanye hivyo tutamsaidia adhabu yake tafadhali. Bibi kusikia hivyo akadakia, "nyie watoto komeni kabisa,adhabu hii ni kwa wote,na kumbukeni adui ni adui hata awe bibi. Hebu mjeshi endelea na adhabu uliyopanga,tena nianze mimi."
 
Ha
Haha
Hahaha
Hahahaha......
Mavi bwana....! Hayana mwiba lakini ukiyakanyaga lazima uchechemeee.
 
Housegirl alifagia chumbani akaona kondom uvunguni, akauliza hii nini? Mama mwenye nyumba akajibu kwenu ham***wi?? Housegirl akajibu tunat***a lakini siyo mpaka ngozi ya mb** itoke..
 
Najua wewe ni mtaalamu umepitia kilimo na mifugo, kwa mujinu wa kaka yako ulifaulu vizuri ktk somo la ufugaji, sasa nipo kwenye semina hebu nisaidie ndugu yangu kuku anato**** au anafi***? Naomba jibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom