Hawa Mods wa JF HATARI........!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Mods wa JF HATARI........!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by platozoom, Jun 15, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hawa Mods wana mengi sana msiwaone hivyo mkawadharau…..Nazungumzia akina Invisible, Paw, Cookie (sio ile ya kupika soma vizuri), Roulette na wengineo.


  . 1. Kwa mfano wanajua nani ana matusi sana kwenye post zake .

  . 2. Wanajua kina nani huwa wanaingia jukwaa la wakubwa kwa ID tofauti

  3. Wanajua kina nani huwa wanakutana mara nyingi sana PM na kutongozana

  4. Wanajua ni kina nani huwa wanakutana sana PM na kupiga umbea

  5. Wanajua kabisa kabisa Bishanga ndiye mwenye ID ya Erotica

  6. Wanajua Erickb52 haishi A-Town bali kwa jimama la kitanga barabara ya 13

  7. Wanajua kabisa Mtambuzi ana umri mdogo sana wa miaka 25 japo huwa anakuja na story za kaka zakeenzi hizo na sisi tunaamini.

  8. Wanajua my sweet heart charminglady anamendewa na mmoja wao (nabana jina naogopa ban)

  9 ………………………………
  10 ………………………………..

  11. ………………………………..

  ……………………………….
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mmmhhhhh! ngoja waje waasisi!
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  9. Pia wanajua kwamba platozoom ni bingwa wa kutongoza hapa JF kiasi cha kujisahau na kutongoza midume akidhani ni wanawake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Cookie yuko sharp...si niliwaambia? alikuwa anajua nitatuma hii thread hata kabla sijaandika!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Wanajua pia kuwa Mtambuzi alishawahi kula kichapo nje ya banda la video uswahilini mwaka jana halafu akaja hapa kutueleza ilikuwa New Chox Cinema enzi hizo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Ngoja wadadavuzi waje wadadavue kinachotakiwa kidadavuliwa na wadadavuzi
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nimefikaje fikaje hapa?...
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Kwa macho....acha woga
   
 9. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Wewe si mdadavuzi?
   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  :behindsofa:
  :behindsofa:nimejificha hapa.
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Swhat we ni noma haya bana
   
 12. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hapo kwa Paw hutoki...yule jamaa nuksi kweli lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  yawezekana uligeuzwa msukule then ulipofikishwa hapa wakairudisha hali yako ya kawaida... hebu jisachi naniliu zipo ok?
   
 14. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh uwe makini....mods nini bana
   
 15. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  wanaopiga umbea huko kwenye pm siku mods wakikosea wautume kwa mwingine hapa patakuwa Syria.
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kumbe wewe mjanja...
  mpaka unajua kuwa ishu muhimu ni NYETI sio?
  asante mupenzi
   
 17. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah umeinclude wale '' softy'',mbona hujamweka Buchanan ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Una kahabari kidogo utumegee.....umbea mtamu!
   
 19. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wanawajua wote wanaoshinda pm kuijadili ndoa yangu na Rejao.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hawa mods wanatujua wachaga wote, ha ha ha
   
Loading...