Unatamani gari gani ambalo unaweza kulinunua miaka 2 ijayo

Ka-nissan march kanantoa jasho hapa!ila mwezi wa nane katikati mtapishana nako njiani,niombeeni jamani,naahidi kuwa mtiifu mbele ya ma V8 na ma vogue yenu.
 
Nikipata ka-abood au ka-hood katansaidia sana kwenye videiwaka vyangu,,,,nadhan bya 2020 au 2025 ntakua na walau nna matairi manne
 
Ningependa Nipate Verossa ya light blue hivi kama aliyoionyesha mwakyembe(Masanja) na Chizi(Mpoki) kwenye O.K

OK.JPG
 
Back
Top Bottom