Mumeo amekufa bila shaka

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
POLISI:"Nimekuja nyumbani kwako
kukupa taarifa kuwa ajali ya gari
imetokea,mumeo
amekufa bilashaka,naomba twende ukaangalie
kama utaitambua maiti yake"
MKE:"Aaah potelea
mbali,usinisumbue mie,we mpige
picha alafu u upload
facebook....ukiona nimelike ujue ndo
yeye"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom