Safarin kigoma

Safarin kigoma

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,504
Reaction score
7,439
Nipo na sumry high class...naitafuta Kg..leo nitalala Kahama(ndasa resort hotel)kesho Kg
Vox populi,vox Dei
 
Nipo na sumry high class...naitafuta Kg..leo nitalala Kahama(ndasa resort hotel)kesho Kg
Vox populi,vox Dei
mkubwa!hapo kwenye red ninamasha,maana huwa tulala kwenye basi,na huo ndio ukwel,wasalimie KG
 
"Wasalimie Kigoma, waambie nishaoa" - Cindelela by Ali Kiba
 
mkubwa!hapo kwenye red ninamasha,maana huwa tulala kwenye basi,na huo ndio ukwel,wasalimie KG

Jomba sio wote wanalala katika bus..nw mimi Ndesa nimepumzika..saa kumi na mbili kasoro nasogea ktk bus
 
Ni kweli Kwani mabasi yanafika mapema Kahama Kama kipato kinaruhusu huwezi kulala kwenye basi mpaka asubuhi.wasalimie kigoma
 
Back
Top Bottom