Ni kwa tukio lililotokea Moshi la kumchomesha mahindi mpaka yakaungua Don Mangi, papaa ya Kichagga. . .la presidaa of Moshi, leo atakua viwanja vya mashujaa akichoma ndafu ya ngombe. . .wananchi...
Daktali mmoja Mirembe aliamua kuwapa zoezi wagonjwa wake wa akili (vichaa) ili kupima ukichaa wao, basi akawaambia kuwa atakaeweza kukaa kwa muda wa masaa matatu bila kupiga kelele, kesho yake...
Watu watatu walibugia maji katoliki mpaka wakawa bwii, basi wakaanza kurudi nyumbani huku wanaimba wimbo wa parapanda (....Parapanda italia parapanda..) x 6.
Basi kwa kuwa ilikuwa ni siku yenye...
Habhari yenu bhana,
Katika siku ambazo ninafuraha toka kuzaliwa kwangu ni leo nilipo pata simu kutoka kwa mama kuwa kapigwa taraka na baba yangu ombaomba Arushaone
Kwakweli toka mama aolewe na...
Habari zenu woooote...........
Asprin, Kaizer na group yenu nimefundishwa dawa ya hang over jana toka maeneo fulani..........
Ukiamka nazo chukua Maziwa mtindi + Fresh Apple katakata ndani yake...
Serikali inakataza ukeketaji (japo unasaidia kupunguza nyeg*) na inakataza kurithi wajane (japo kunasaidia kutunza wajane na watoto wadogo wa marehem). Lakini naishangaa serikali kutokataza mila...
Nimejitoa muhanga rasmi kuhakikisha huyu bwana mdogo wakati ndio sasa anammiliki charminglady .Hii imetoka na kuona kijana anaelekea kusiko wote ni mashaidi.
Ni kweli nitakua ninawakati mgumu sana...
Wamakonde wanapenda sana kusafiri wakiwa wanaimba.siku mohja waliomba lifti kwenye lori la mizigo.
Njiani wakawawanaimba nyimbo mbalimbali huku wakiinjoi safari yao.
Muda ukaenda sana na safari...
Mzungu alikuja tanzania kusimamia mradi wa kujenga visima vya maji,akiwa na mitambo kibao mipya,aliwakusanya wanakijiji na kuanza kuwapa mipango ya kazi.
Mzungu:Nimekunya(nimekuja) toka...
Jamaa bhana walikuwa wanafanya UE(university exam),msimamizi wa somo alisifika sana kwa unoko na ukuda wake.msimamizi kamaliza kugawa karatasi,akaruhusu wanafunzi waanze kufanya mtihani,mtihani...
Nashindwa kujua maana halisi ya hili neno. Mtu anakua mzembe (mathalani kazini) anakua punished,
then anamwita alieyempa adhabu 'mnoko'. Hebu niambieni mtu mnoko anakuaje.....
Baada ya kua nimemshukuru Mungu kwa kunirejesha kwenya siha njema,
pili nimshukuru my wife NastyBeibe kwa kunilea na kuniuguza vyema kufikia hivi nilivyo.
Ndiyo kusema natoa ujumbe rasmi kwako...
My love asubuhi ulinshtua ulivokua unachemka mwili, na pia hata kuonge ulishindwa , naiman vidole vyako vinaeza ongea, kiukweli nimenyong'onyea coz haupo vizuri beibe wishin u a quick recovery my...
Shangazi nimekuja,japo sina nia kukukwaza.
ahadi yetu umevunja,japo ni kwa mara ya kwanza.
yangu shida sikuoni ukija,kutatua kile ninacho kiwaza.
waweza sema chizi kaja,ni love stress kutwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.