Tangazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KARIA, Sep 13, 2012.

 1. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  The end is near!! Coca cola linanichanganya mno!
   
 2. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Frankly binafsi hapo nimeuliza saaaaaaaaaana!! sielewi elewi kwa nini wanasema the end is near...... sasa bora hilo kuna lile la kokakola lile la redioni wanasema "wakati dunia ina hofu ya maisha ya baadae...... bilioni moja ya waafrika wanakunywa kok" hivi hii ni sifa au kejeli kwa waafrika kuwa wakati watu wanachanganya na za kwao kutatua matatizo mbalimbali, waafrika mnakunywa kok tu.!!!
   
 3. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hii ni kejeli kubwa mno! na kwa ufinyu wa mawazo yetu tumejubali kurikodi upuuzi huu!
   
Loading...